N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Mheshimiwa Waziri huyu mzee Pascal Mayalla a.k.a "njaa"(joke kidogo) amejipambanua mara nyingi kuwa na uwezo sana kwenye sekta ya Utangazaji...na kusema kweli ni Mtangazaji mkongwe na mtu ambae anayaelewa sana maadili ya utangazaji nashauri kwa mujibu wa sheria...na kama ulivyopewa nguvu huyu mzee ujuzi wake autumie kwenye Kamati ya Maudhui ili asaidie kurekebisha vituo vya utangazaji aungane na wale wakongwe wengine kwenye kamati hiyo.
Nimeandika hasa kutokana na maoni yake kuhusu kipindi hiki ambacho kweli hata mimi binafsi sijakifurahia...Uzi huu umempambanua huyu mzee.
https://www.jamiiforums.com/threads...upa-viwembe-live.1584952/page-3#post-31490222
Nawasilisha.