Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Habari wana JF,

Binadamu tumeumbwa tofauti hasa kwenye suala la kufanya maamuzi mbali mbali. Leo tujadili suala la kuhisi kinyaa.

Binafsi nina jamaa yangu ambaye mambo ya kinyaa huwa hana kabisa.

Yaani akiingia mdudu kwenye kinywaji anamtoa vizuri anaendelea kupiga zake kinywaji akikuta kwenye chakula kwake sio tatizo.

Mdau niambie, wewe ukikuta mdudu au nywele kwenye kinywaji au chakula maamuzi yako yakoje?
 
Habari wana JF,
Binadamu tumeumbwa tofauti hasa kwenye swala la kufanya maamuzi mbali mbali. Leo tujadili swala la kuhisi kinyaa....binafsi nina jamaa yangu ambaye mambo ya kinyaa huwa hana kabisa..yaani akiingia mdudu kwenye kinywaji anamto vizuri anaendelea kupiga zake kinywaji...akikuta kwenye chakula kwake sio tatizo.

Mdau niambie, wewe ukikuta mdudu au nywele kwenye kinywaji au chakula maamuzi yako yakoje?
Huyo cha mtoto kwangu. Mi nikipata demu nikiwa nakula denda hata akibanja mi nameza kohozi lake... Na kwenye maswala ya kupiga deki kwenye malavidavi ndio usiseme... hata kama binti yuko period mi napiga deki tu... nikitoka hapo mdomo utadhani fisi katoka kula mzoga wa swala...
 
[emoji41]
tapatalk_1535649651911.jpeg
 
Mkuu mbona umetufungia kwenye vinywaji na vyakula tuu?

Binafsi ubabe wangu kuhusu kichwa cha mada upo kwenye suala la malavidavi. Ukilegeza maelekezo nistue
Fungukeni tu mdau,,,Mambo gani hayakupi kinyaa kabisa au yanakupa kinyaa?
 
Huyo cha mtoto kwangu. Mi nikipata demu nikiwa nakula denda hata akibanja mi nameza kohozi lake... Na kwenye maswala ya kupiga deki kwenye malavidavi ndio usiseme... hata kama binti yuko period mi napiga deki tu... nikitoka hapo mdomo utadhani fisi katoka kula mzoga wa swala...
Babu!!!!!Na wewe Bado unafanya hayo maswala?????
 
Nakumbuka Wakati nipo chuo, jamaa walikuwa wananisakama kwa kula rafu yani nikikuta kikombe cha maji nachukua tu nakunywa bila kuangalia kiko saf au la!
Nilikuwa sichagui maji et ya bomba sijui ya uhai mara yalio chemshwa, mimi nilikuwa napiga tu.
Jamaa wakasema kipindupindu kitaanzia kwangu lahaulaah!

Chaajabu sijawahi kuumwa hata tumbo, wao sasa haishi wiki utasikia naenda kupima tumbe limechanganya m kazi yangu kuwasindikiza na kuwa pole.
Mimi kinyaa kweli sina ila labda iwe too much sana.
 
Back
Top Bottom