Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Wana jamvi, kauli ya Askofu Gwajima kuwa ANA VYETI vya RC Makonda ni makosa makubwa ya jinai ambayo askofu hastahili KUSHIRIKI! Gwajima anahitajika KUHOJIWA ili kujua alipata wapi na...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamn duniani samehe Mara saba sabini,namkubali sana mchungaji Gwajima,lakini baba chonde chonde tunaomba umsamehe Makonda wewe ni mchungaji usimpige mpaka akapotea[emoji1] [emoji1] [emoji1]...
0 Reactions
Replies
Views
Inawezekena kusudio la vita vya madawa ya kulevya haswa iliyoasisiwa na Daud Bashite ilikusudiwa kuwapiga na kuwapoteza kwenye ulingo wa siasa baadhi ya watu muhimu haswa kutoka kambi ya upinzani...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Bodi ya chama kikuu cha ushirika cha Songea na Namtumbo (SONAMCU) imemtumbua Kaimu Meneja wa chama hicho Bw.Richard Nditu kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za chama hicho. Uamuzi wa kutengua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF. Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
tunaomba vyeti vyeti vyeti vyeti na vya mrisho gambooo
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wana jf, Jmn kuna ndoto naiota leo ni kama mara ya kumi , eti kuna basi zuri namimi nimekata tiketi (destination unknown) nachelewa kama dakika tano nakuta limeondoka, natafuta pikipiki...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Iweje mzazi anakwepa kuzungumzia historia ya mwanaye nachojua mimi mzazi hufurahia kusema kwa ufasaha historia ya mwanaye. Waone hawa wanavyokuwa na hofu.Kwa umri wa huyo mama ni wa kusahau...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna watu wamejitokeza kwa wingi kumtetea mkuu wa mkoa Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya kidato cha nne, wao wana hoja mbili. Kwanza wanadai sababu kubwa inatokana na vita yake...
7 Reactions
Replies
Views
Heshima kwako waziri na wizara kwa ujumla! Baada ya salamu hizo napenda kukupongeza kwa nia yako ya dhati ya kuondoa viroba sokoni. Pombe hii ilikuwa inaharibu sana vijana wenzetu, wazazi wetu na...
0 Reactions
6 Replies
896 Views
  • Redirect
Suala hili la RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda linaelekea kubaya. Linaelekea kukisawajisha chama na hata Serikali yake. Hayati Mwalimu Nyerere,kwa tuliokuwa karibu naye kimatendo na kimaneno...
41 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Labda asingetaja wauza unga akataja group lenye dhambi tofauti isingefika hapa,hii yote ni dalili kwamba vita ya madawa ya kulevya Tanzania ni ngumu,hivi nani mkamilifu nchi hii ilivyokuwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
kumekua na malalamiko mengi bila ushahidi wa 100% kuhusu uhalali halisi wa vyeti vya Daud, je iwapo mkuu wake akiamua kuziba masikio na kumpandisha cheo hata awe waziri wa wizara fulani.....nan...
0 Reactions
Replies
Views
Tatizo la sexual abuse miaka mingi limeonekana kama ni la kanisa kuu kati ya makanisa yote yani katoliki, hii imepelekea kuyafumbia macho maovu yanayofanyika na wachungaji na walezi katika...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
  • Redirect
Wapendwa, bila ya kupoteza muda ningependa tuwekane sawa kwa kile kinachoendelea kugonga vichwa vya habari ndani na nje ya jamhuri yetu tukufu ya Tanzania. Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali...
2 Reactions
Replies
Views
mambo vipi jamani Kuna mtu alinambia kuwa kuna wakala binafsi ambazo huwa zinadeal na kuuza viwanja..... Sasa naomba kwa yoyote mwenye ufahamu anijulishe, mm nina shamba la hekari 5 liko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Great thinker kazi kwako
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…