The hammer JF-Expert Member May 17, 2011 2,396 1,784 Feb 28, 2017 #2 Naona hapa ni Danganyaika tu badili rangi za wahusika hao tu
Tape measure JF-Expert Member Nov 26, 2015 1,980 3,578 Feb 28, 2017 #3 Zinaonyesha Sera za ukawa ELIMU, ELIMU, ELIMU haitumiki ipasavyo kutatua matatizo yetu. MF. Picha ya 1 mzee amezungukwa na ngazi kibao ila hawezi kuziunganisha aweze kuona mbali ya urefu wake. Hivyo kuendelea kuweweseka juu ya ngazi
Zinaonyesha Sera za ukawa ELIMU, ELIMU, ELIMU haitumiki ipasavyo kutatua matatizo yetu. MF. Picha ya 1 mzee amezungukwa na ngazi kibao ila hawezi kuziunganisha aweze kuona mbali ya urefu wake. Hivyo kuendelea kuweweseka juu ya ngazi
mathsjery JF-Expert Member Sep 26, 2015 2,240 1,794 Mar 1, 2017 Thread starter #4 The hammer said: Naona hapa ni Danganyaika tu badili rangi za wahusika hao tu Click to expand... Sio lazima maana hata hao nao Ni watu naomba utafsiri ukishindwa Tulia tuendelee
The hammer said: Naona hapa ni Danganyaika tu badili rangi za wahusika hao tu Click to expand... Sio lazima maana hata hao nao Ni watu naomba utafsiri ukishindwa Tulia tuendelee