Meneja wa ushirika Songea afukuzwa kazi kwa ubadhirifu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Bodi ya chama kikuu cha ushirika cha Songea na Namtumbo (SONAMCU) imemtumbua Kaimu Meneja wa chama hicho Bw.Richard Nditu kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za chama hicho.

Uamuzi wa kutengua ajira ya Kaimu Meneja wa chama hicho cha ushirika Bw.Richard Nditu umetangazwa na Mwenyekiti wa bodi ya chama hicho Bw.Salumu Brashi kwenye mkutano wa dharula wa chama hicho.

Kwa upande wao watumishi wa SONAMCU kuboresha maslahi yao kwa kuwa wamekuwa wakilipwa ujira kidogo.

Kaimu Meneja mpyawa Chama cha ushirika cha SONAMCU Bw.Yasin Makunguru amesema kuwa watajitahidi kuboresha maslahi ya watumishi wa ushirika huo.

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom