waprotestanti amkeni, tatizo la sexual abuse.

bugzbunny

JF-Expert Member
Mar 9, 2013
839
755
Tatizo la sexual abuse miaka mingi limeonekana kama ni la kanisa kuu kati ya makanisa yote yani katoliki, hii imepelekea kuyafumbia macho maovu yanayofanyika na wachungaji na walezi katika makanisa ya kiprotestanti.
Lakini kanisa katoliki limeonekana kulivalia njuga suala hilo na hivyo kuanzia miaka ya 80, kesi au malalamiko yamepungua kiasi kikubwa sana, ni kama tatizo limekwisha.

Pia kwa kiasi kikubwa tatizo hilo katika kanisa limekuwa likisemwa eti kuwa ni kwasababu ya mapadri kutokuruhusiwa kuoa, lakini tukienda upande wa waprotestanti, ambao wamejisahaulisha tatizo hilo nakulifanya kama vile ni la kanisa katoliki pekee, takwimu hazisemi hivo. Case na matukio ya maovu dhidi ya watoto na watu wazima zimeonekana kuwa ni nyingi kuliko kwa wakatoliki, lakini wamekuwa wakipuuza wakidhani siyo tatizo lao kwa kuwa wao pengine wameruhusiwa kuoa.
Ninafahamu ya kuwa waprotestanti wengi , waumini wanafahau mambo yanoyoendelea kwenye mikesha, camp nk

Hivo nitoe wito makanisa hayo pia yafuatilie case na kuweka platform ya waathirika kujieleza bila vitisho ili wapate kulitatua au kulimaliza kabisa tatizo hilo linalogubika makanisa yao huku wakijifanya hawaoni. Acheni [HASHTAG]#ubashite[/HASHTAG].

Baadhi ya link kwa maelezo zaidi:

Protestants can no longer dismiss abuse as a ‘Catholic problem’ | Symon Hill

http://shoebat.com/2014/05/06/sexual-abuse-protestant-churches-catholic/
 
Back
Top Bottom