Ajali, Pwani: Gari ndogo yagongana uso kwa uso na Fuso maeneo ya Mdaula, wawili wafariki dunia.!

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Watu wawili wamefariki dunia baada gari ndogo lenye namba za usajili T 340 DHG kugongana uso kwa uso na Fuso leo majira ya asubuhi Machi 18, 2019 maeneo ya Mdaula mkoa wa Pwani.

Taarifa za chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari ndogo kuovertake bila kuangalia usalama mbeleni hivyo kukutana uso kwa uso na kuingia uvunguni mwa Fuso

Waliofariki katika ajali hiyo walikuwa kwenye gari ndogo huku Dereva wa Fuso na mtu mwingine wakikimbizwa katika hospitali ya Chalinze kwa matibabu.

IMG_20190518_130253_865.jpeg
IMG_20190518_131318_020.jpeg
 
Tuweni na macho ya kiroho, yanaona kila kitu tukiacha lawama zingine kama hiz...jamaa alikuwa na gar lenye nguv kabisa lkn je calculaation za kuovertake zilimkaa ipasavyo....anaovertake kwa speed gan kulingana na gar inayokuja mbele..sambamba na gar anayoovertake.......wachen kufanya maamuz barabarn kwa akili za stress na experience ndogo barabaran......mtaliza na kuacha vizaz vidogo bila hata usimamiz....
 
Back
Top Bottom