Gari hii imegonga mtu hapa majumba sita ukonga

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
618
1101489

Ilikuwa ikiendeshwa na kijana mdogo ambaye ametanua, yaani kupita njia tatu kisha ikamgonga dada mmoja na madereva kubadilishana usukani wakampakia yule dada na kutokomea naye, kabla watu hawaja kuwa wengi gari imegeuza njia na kuelekea muelekeo wa uwanja wa ndege
 
Je umetoa taarifa kwa askari waliopo hapo kwenye mataa njiapanda ya kwenda segerea? Waonyeshe na namba ya hiyo gari
View attachment 1101489
Ilikuwa ikiendeshwa na kijana mdogo ambaye ametanua, yaani kupita njia tatu kisha ikamgonga dada mmoja na madereva kubadilishana usukani wakampakia yule dada na kutokomea naye, kabla watu hawaja kuwa wengi gari imegeuza njia na kuelekea muelekeo wa uwanja wa ndege
 
Sasa wew unaaanika jf ili iweje, badala utoe taarifa kituo cha polisi
 
Sasa ndo mpka uje ulianike gari huku? Acha hizo...huyu dada tushamalizana naye wewe kiherehere kinakusumbua. Ameelewa tumemwelewesha kuwa ni bahati mbaga dereva haja master vizuri kuendesha gari so ni makosa tu ya barabarani ya dereva mgen. Acha umbea kijana utasutwa
 
Hahah mpelekee kigoma cha uruguay huyu
Sasa ndo mpka uje ulianike gari huku? Acha hizo...huyu dada tushamalizana naye wewe kiherehere kinakusumbua. Ameelewa tumemwelewesha kuwa ni bahati mbaga dereva haja master vizuri kuendesha gari so ni makosa tu ya barabarani ya dereva mgen. Acha umbea kijana utasutwa
 
Mkuu umefanya vizuri.. Hongera nadhani kama watamfanyia Dada vitu yofauti itakua nua rahisi kuwapata na polisi pia nenda au MPE hata trafiki wa karibu kma utaweza
View attachment 1101489
Ilikuwa ikiendeshwa na kijana mdogo ambaye ametanua, yaani kupita njia tatu kisha ikamgonga dada mmoja na madereva kubadilishana usukani wakampakia yule dada na kutokomea naye, kabla watu hawaja kuwa wengi gari imegeuza njia na kuelekea muelekeo wa uwanja wa ndege
 
Sasa ndo mpka uje ulianike gari huku? Acha hizo...huyu dada tushamalizana naye wewe kiherehere kinakusumbua. Ameelewa tumemwelewesha kuwa ni bahati mbaga dereva haja master vizuri kuendesha gari so ni makosa tu ya barabarani ya dereva mgen. Acha umbea kijana utasutwa

Muache utani kwenye kila kitu huyu dada kupona ni majaliwa as she is bleeding masikioni na puani nimemjulisha RTO ocd shtakishari
 
ungempa ata traffic mmja apo hii # awaslian n wenzie..
 
Daah! Pole yake huyu dada. Usawa huu kuingia kwenye majanga kama haya ni hatari sana. Pesa hakuna na hustle nyingi.
 
Sasa ndo mpka uje ulianike gari huku? Acha hizo...huyu dada tushamalizana naye wewe kiherehere kinakusumbua. Ameelewa tumemwelewesha kuwa ni bahati mbaga dereva haja master vizuri kuendesha gari so ni makosa tu ya barabarani ya dereva mgen. Acha umbea kijana utasutwa
Acha ushamba wewe juzi Kati ulianzisha uzi hapa baada ya kutaka kupigwa bakora ukila supu, chapati 4 na maziwa maeneo ya magomeni ukiwa na mavazi yanayoendana na ya kiislam na kadai ulitoa silaha kujinisuru Sasa Leo mdada kagongwa unaleta ungese wako acha hizo huyu informer Nampa 5/5
 
Nyie familia yenu mlifundishwa sana matusi... Na unayakumbuka ulifaulu. Wapongeze wazazi wako.🙋🙋🙋

Acha ushamba wewe juzi Kati ulianzisha uzi hapa baada ya kutaka kupigwa bakora ukila supu, chapati 4 na maziwa maeneo ya magomeni ukiwa na mavazi yanayoendana na ya kiislam na kadai ulitoa silaha kujinisuru Sasa Leo mdada kagongwa unaleta ungese wako acha hizo huyu informer Nampa 5/5
 
Mavazi ya kiislamu ni yapi wewe kilaza?

Back
Top Bottom