Hili linawezekana, ni suala la muda tu.

Hili linawezekana, ni suala la muda tu.

Pundugu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
212
Reaction score
603
Palipo na watu kuna baadhi ya mambo huwa yanachukua muda sana kupata majawabu ya moja kwa moja. Hili la HIV na Cholera linaweza kuwa historia kwenye uso wa dunia.
20190320_144539.jpeg
 
hilo la HIV mbona lilishaisha siku nyingi tu,, sema wanapiga pesa nyingi sana kwenye arv's ndio maana hawataki kumaliza hii kesi,, hivyo sisi wa huku uvunguni tutaendelea kufa tu mpaka watakapo amua wao,,
 
HIV sio issue kubwa, cancer!
 
Back
Top Bottom