jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Habari wakuu,
Natafuta hand GPS ya Garmin ya kukodisha kwa muda wa siku 10 ,iwe version yoyote na acurace ya at least 5meters.
Mwenye nayo anicheki inbox tuongee kwa undani zaidi.
Napatikana dar es salaam.