Kamati ya haki na madaraka ya bunge.

Kamati ya haki na madaraka ya bunge.

Ibumalo

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2017
Posts
465
Reaction score
501
Wakuu na wale wenye taaluma ya kufanya uchunguzi tusaidieni. Toka mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992 kumekuwa na mabunge 4 kama ifuatavyo. 1995-2005 vipindi viwili chini ya Pius Msekwa, 2005-2010 chini ya Marehemu John S. Sitta, 2010-2015 chini ya mama Makinda. Swali langu ni 1) wabunge wangapi wameshitakiwa na adhabu zao? 2) Raia wangapi wameshitakiwa na adhabu zao kisha tulinganishe na bunge la mh Ndugai ambalo katika muda wa miaka minne ya uhai wake ilimesha washitaki raia wawili Paschal Mayala na CAG na wabunge wasiopungua watatu Halima Mdee x2 Godbless Lema na mh. Maselle. 3} kwa nini kila anaeshitakiwa kwenye mahakama hii ya bunge anapakikana na hatia na kupew adhabu ya kuacha kuwawakilisha wananchi waliomchagua? Mh. Maselle alisamehewa kwa matakwa mtukufu spika Ndugai?
Nawakulisha.
 
So what?

Mtu dhaifu mara nyingi hutembea na silaha kujihami. Ndugai ni dhaifu kupita maelezo, nafikiri anahitaji kusoma;

Biblia
Yakobo 1:5
( Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.)
 
Ndugai na yeye Kama yeye tatizo anajiona ni mhimili, so kuna mhimili Bunge,Mahakama, raising/seriikali, na mhimili mwingine ni JOB NDUGAI, Na rungu lake
 
Kosa la Mdee na Lema ni kumuunga mkono CAG,lakini kosa la Masele ni kubwa kuliko la kina Mdee iweje Masele asamehewe adhabu yake?
 
Mkuu wewe wala isikushangaze hiyo ni kawaida tu, hayo mabunge yaliyopita walishitakiwa wengi tu, mi ninae mkumbuka ni Tomasi Nyimbo alikua mbunge, nadhani alisimamishwa kwenye vikao vya bunge miezi mitatu.

Isipokua kwenye bunge hili lililopita ambalo spika wake alikua Anna Makinda hawakushitakiwa watu sana.
 
Wakuu na wale wenye taaluma ya kufanya uchunguzi tusaidieni. Toka mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992 kumekuwa na mabunge 4 kama ifuatavyo. 1995-2005 vipindi viwili chini ya Pius Msekwa, 2005-2010 chini ya Marehemu John S. Sitta, 2010-2015 chini ya mama Makinda. Swali langu ni 1) wabunge wangapi wameshitakiwa na adhabu zao? 2) Raia wangapi wameshitakiwa na adhabu zao kisha tulinganishe na bunge la mh Ndugai ambalo katika muda wa miaka minne ya uhai wake ilimesha washitaki raia wawili Paschal Mayala na CAG na wabunge wasiopungua watatu Halima Mdee x2 Godbless Lema na mh. Maselle. 3} kwa nini kila anaeshitakiwa kwenye mahakama hii ya bunge anapakikana na hatia na kupew adhabu ya kuacha kuwawakilisha wananchi waliomchagua? Mh. Maselle alisamehewa kwa matakwa mtukufu spika Ndugai?
Nawakulisha.

Ukishapata Majibu ya haya Maswali yako yote hapa ndiyo Ugumu wa Maisha yako utapungua kama siyo kuisha kabisa au?
 
Ndugai naye ni mhimiri wa Taifa letu.
So ukimwambia ni dhaifu, utaitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge.
 
Mzee alinichekesha kweli alivyosema CAG asipofika kwenye kamati atakuja hata kwa PINGU!!!

Masele naye akaambiwa hivyo hivyo.... kwamba labda aishi uhamishoni...Lissu yeye anazurura hovyo na hafiki kazini...

Kwamba hawa wanamsumbua sana Rais wetu.....

Ni kweli Lissu; CAG na Masele wanamsumbua sana mweshimiwa ....
 
Back
Top Bottom