Salary Advance: NMB mna shida gani ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Maisha yanasonga.

NMB salary advance inakataa leo May 25, 2019 toka asubuhi. Ukiomba wanakwambia subiri dakika 10.

Matumizi yamekuwa mengi kuliko mshahara nilioupata.

Tatizo ni nini wakuu ?

NMB najua mtatoa ufafanuzi.

Tuna shida.
Screenshot_20190525-173039.jpeg
 
Ni kitu gani hichi mkuu, kuuliza siyo ujinga. Natumia NMB ila sipo kwenye payroll naomba kueleweshwa hii salary advanved
 
hapo sibili hadi tarehe mbili au hadi saba ndio utapewa mkuu kikawaida mshahara ukisha toka huwa wanasumbua sana kukopa tena
 
Ukiwa na shida unakopa NMB ,next salary wanakukata moja kwa moja. Unaweza kukopa kuanzia elfu 10 mpaka laki 5 , na mara nyingi unakopa isizidi 40% ya mshahara wako.
Ni kitu gani hichi mkuu, kuuliza siyo ujinga. Natumia NMB ila sipo kwenye payroll naomba kueleweshwa hii salary advanved
 
Ukiwa na shida unakopa NMB ,next salary wanakukata moja kwa moja. Unaweza kukopa kuanzia elfu 10 mpaka laki 5 , na mara nyingi unakopa isizidi 40% ya mshahara wako.
Lazima uwe mtumishi wa umma na mshahara wako uwe unaingilia NMB.

Hata CRDB wanayo.

Inasaidiaga sana hasa huo mwezi ukiwa na mahitaji makubwa ya pesa.
 
Hivi hii kitu unafanyaje? Naisikiaga tu ila bado sijajua unafanyaje.
 
Je riba yake inakuwa percent ngapi?
TERMS AND CONDITIONS FOR SALARY ADVANCE
3



8. INTEREST RATE, FEES AND CHARGES


8.1 The Salary Advance shall not attract interest fee



8.2 The Salary Advance shall have a processing fee of (six percent) 6%
collected at the end of the.



The Bank reserves the absolute right of changing/review the interest rate
and charges at any time provided that the Customer is notified.
 
Lazima uwe mtumiaji wa NMB Mobile

Unabonyeza *150*66# okay

Unaenda kipengere cha Mikopo

Unaenda Salary Advance

Unakubali terms and conditions

Unaingiza amount unayotaka , chap inaingia kwenye akaunti yako ya NMB
Oooh!!
Inamaana ipo kwa NMB pekee? CRDB haipo?
 
Back
Top Bottom