Taratibu za kuoa mara ya pili zipoje?

Taratibu za kuoa mara ya pili zipoje?

namba force

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
758
Reaction score
434
Wadau naombeni mnijuze hasa kwa wale waliopitia maandiko matakatifu (Bible)

Ikiwa ulioa kwa kufunga ndoa kanisani baada ya hapo mkakosana na kuachana na mke/mme wako

Je, inaruhusiwa kuona na kufunga ndoa tena kanisani?
 
Pole ni hasira tu,msimpe shetani nafasi
Wadau naombeni mnijuze hasa kwa wale waliopitia maandiko matakatifu (Bible)
Ikiwa ulioa kwa kufunga ndoa kanisani baada ya hapo mkakosana na kuachana na mke/mme wako je, inaruhusiwa kuona na kufunga ndoa tena kanisani???
 
Duh bado hujakoma tu
Unataka kuoa tena

Ova
 
Wadau naombeni mnijuze hasa kwa wale waliopitia maandiko matakatifu (Bible)
Ikiwa ulioa kwa kufunga ndoa kanisani baada ya hapo mkakosana na kuachana na mke/mme wako je, inaruhusiwa kuona na kufunga ndoa tena kanisani???
Wewe ni Muislam au kafiri? kama ni Muislam taratibu zipo na kama ni kafiri mwisho mke moja na zinaa kimtindo huku ukijifanya mke mmoja anatosha kabisa.
 
Mimi mkristo
Wewe ni Muislam au kafiri? kama ni Muislam taratibu zipo na kama ni kafiri mwisho mke moja na zinaa kimtindo huku ukijifanya mke mmoja anatosha kabisa.
 
Kwa mujibu wa maandiko ndoa ya pili ni kwa mazingira yafutayo:-
1. Aliyekuwa mwenzi wako ameshafariki.
2. Mliachana kwa sababu ya uzinzi/usaliti aliyefanyiwa hivyo anaweza kuoa tena.
3. Uliachwa kwa sababu yoyote ile na aliyekuacha ashaolewa/oa na mtu mwingine.
Tofauti na hapo hakuna namna ya kuoa/olewa tena kwa mujibu wa bible!
 
Nenda kwenye makanisa ya manabii na mitume....wanafungishaga tu
 
Back
Top Bottom