Hatua ya serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plasitiki kumetoa fursa kwa wajasiriamali jijini Arusha kushiriki mafunzo ya muda mfupi ili kupata elimu ya kutengeneza Mifuko mbadala ya...
Wanazengo leo nilikua kwenye ofisi fulani hivi,nafatilia mafao yangu baada ya kuacha kazi katika kampuni moja hada dar,katika kusubiria subiria tukiwa na jamaa wengine wakiwa wamekuja kufatilia...
Haya makampuni mengine yabaki kutuuzia vocha na mihamala ya pesa to. Maana wamezidi kutunyonya katika mabando
Katika ulimwengu huu wa digital huduma Za internet zinapaswa kupatikana kwa gharama...
Kila mtu amepewa fursa ya kupata nguvu kubwa zaidi katika asili, nguvu iliyomuumba na inayomtawala! Hakuna haja ya kuamini katika uwepo wa nguvu hii kubwa, kwani inaweza kuchunguzwa na kujulikana...
Mzee mengi alilalamika kurushiwa meseji za matusi baada ya Itv kuonyesha mkutano live wa lowassa kutangaza nia via ccm pale arusha.Aliitaja namba iliyoongoza kumtumia matusi kama 0655 253 535...
Tanga maeneo ya ngamiani wameweka vibao hivi kuonyesha mitaa ikiwa kwa kiswahili na kiingereza kwa maoni yangu nafikiri kwa kiingereza wangeandika 7th Road au Road # 7 badala ya 7Road kwangu mimi...
Tarifa zinasema mwalimu simwaba amafariki tarehe 27/04/2019 uko jijini mbeya
Hakika tutamkumbuka kwa umahiri wake katika somo la kingereza, wanafunzi tuliopata kufundishwa naye tutamkumbuka kwa...
Habari wakuu
Huuu n mtazamo wangu kuhusu majiji yote yaliyopo Tanzania
1.DAR ES SALAAM
Hili n jiji kubwa kutokana na kua lango kuu la nchi toka miaka hiyoo uwepo Wa bandali ya mzizima na shughuli...
Inapouma zaidi ni pale unapokuta kwenye familia wewe ndio msomi kuliko wote halafu choka mbaya..! Hata utoe wazo la maana kiasi gani watu hawakusikilizi wanamsikiliza mwenye hela anasemaje?
Nakumbuka mzee wa u.pako aliwahi kulitumia kanisani.
Kuna dada mrembo na mstaarabu aliwahi kulitumia mbele ya kadamnasi heshimifu.
Kuna mmama wa heshima kabisa akalitumia bila hata kushtuka katika...
Katika maisha yangu nimekutana na wanachuo wengi, wengi wao waliniambia changamoto nyingi wanazokutana nazo vyuoni. Wengi waliingia vyuoni wakiwa watakatifu, watulivu lakini walipoondoka...
Binafsi sijaitumia ila nimefanikiwa kuiona sehemu mbalimbali ikiuzwa kwa wingi sana.
Nilipojaribu kuichunguza kwa makini nilipata walakini kama inaweza kuhifadhi mboga kwa usalama na isiwe na...
Mrejesho/Mapitio ya uchambuzi ulifanywa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuhusu video inayodaiwa ni ya Aksofu Gwajima
Utangulizi:
Nimesoma taarifa/report inayojieleza kwamba ni uchambuzi uliofanywa...
Nipo hapa nasikia wimbo wako wa Rita ukipigwa, ghafla ninakukumbuka. Lakini ni siku nyingi hausikiki katika Tasnia hii ya Sanaa ya Muziki.
Uko wapi brother? Unafanya mishe gani huko?
Wakuu nawaza bado sielewi,nimesoma diploma in water technology siyo rafiki na moyo wangu yaani haiko kwenye haiba yangu ila nilifanya HVO ili nipate sponsors kwa ngazi ya stashada Sasa Niko kazini...
TAARIFA KWA UMMA WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2019
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2019...
Wakuu habari kwa sasa nipo ukanda wa ziwa tanganyika kijiji kimoja cha ndani kbs(jina nalihifazi). kwa takriban miezi mitatu sasa nimezoena na watu kidogo ila juzi kunambibi jirani yangu anashamba...