mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Habar wakuu....
Katika zoezi la katazo la mifuko ( lambo) nimejikuta nikiwaza mfumo wa zaman tuliokuwa tunatundika nyama katika miti na kimsingi tulifurahia ule mfumo.
Gafla tena naona tukiludi katika ule mfumo maana mifuko ilikuwa mhimu katika kubebea vitu vibichi ila sasa itakuwa shida sana haasa kwa watu wamaisha ya chini..
Mt. Fransisco utuombee.