Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni ukweli usiopingika baadhi ya watu weusi hatuna mazoea ya kujisomea vitabu mbalimbali.Mambo mengi na elimu nyingi tumefichwa kwenye maandishi. Kuna msemo usemao ukitaka kumficha Jambo mtu...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu amani iwe kwenu, Kutokana na kukua kwa tafiti za kisayansi binadamu wamefikia level ya kuchanganya vinasaba vya kiumbe binadamu na wanyama wengine Humanised animal. Ambapo viumbe kama human...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa haraka haraka unaeza fikiri ni Air Turkey au Emirates, hivi hakuna watanzania wazawa wakafanya hilo tangazo basi hata mngemweka LUKAKU au Drogba!kuna tangazo lenu binti analeta kinywaji kwa...
1 Reactions
8 Replies
787 Views
Kwa siku za karibuni ninaona kila kiongozi akisimama lazima atamke neno BLUE PRINT. Nawaombeni mnielemishe Blue Print ina maana gani kwa maendeleo ya Tanzania?.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
*IRINGA YAONGOZA TANZANIA TUZO ZA UWEZESHAJI WA WANANCHI KIUCHUMI* Mkoa wa Iringa umeshika nafasi ya kwanza katika mikoa yote Tanzania bara na kupata tuzo ya Uwezeshaji wananchi kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Kwanini maisha ya watanzania ni mazuri sana kiwastani ukilinganisha na Maisha yawa Kenya, ila ukiangalia bajeti ya Kenya iliosomwa majuzu nikubwa mara mbili ya ile ya Tz yani ukijumlisha bajeti ya...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Jana usiku baada ya kuangalia game Kati Tanzania na misri nilitoka nikaenda dukani kwa mangi kununua vocha , yupo mangi mmoja huwa anakomaa mpaka saa nane usiku huku kitaani kwetu. Baada ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hawa konyagi hizi alcohol % zao nashindwa kuzielewa au kuna feki hapa. Unakuta wameandika hivi alcohol 35% vol. ,nyingine wameandika 35%ABV sasa hapa ndo nashindwa kuelewa.
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakuu! Mimi kama kijana na sina kazi. nina mawazo meng ya biashara madogo na makubwa ila tatizo sina mtaji.. Kidato cha nne nilipata division 4 ya 26 hivyo sikuweza kuendelea na masomo...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Buruani Prof Robert Mabele (BOB) kwa wale wakongwe wa Uchumi UDSM na wale madogo wa Ruaha Catholic University (RUCU) watakuwa wanamfahamu. Alifariki siku ya jumanne ya tarehe 06 May 2019 na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mara ya kwanza kufika Dar nikiwa mtoto mdogo nilipatwaa na hisia mchanganyiko. Niliona barabara pana kwa mara ya kwanza, magari mengi,magorofa mengi na taa za barabarani vilinivutia sana. Tatizo...
1 Reactions
2 Replies
830 Views
Ndio raha ya kuzaliwa kwenye nchi ya maziwa na asali
4 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Closed
Habari, Huyu dada anayefahamika kama Angabags yupo ndani ya JamiiForums. Nadhani ni mbunifu wa mavazi, mitindo na bidhaa mbalimbali. Kwa yeyote anayemfahamu au mwenye mawasiliano yake tafadhari...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii ndoto inamaana gan?!
1 Reactions
7 Replies
12K Views
  • Closed
Wakuu hivi kwanini tangu nimepata hii kazi nimekuwa mlevi sana? Natamani sana kuacha ulevi lakini nashindwa, ushauri wenu wakuu. Pesa zote za mshahara naweza kumaliza kwenye ulevi Tafadhali...
2 Reactions
120 Replies
11K Views
Wakuu, Natumaini kuwa mu wazima wa afya, Wakuu tafadhali naombeni msaada wenu:- Miezi 3 iliyopita nilipeleka barua zangu za maombi ya kazi ya ulinzi pale katika kampuni ya Rostam Aziz Caspian...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu km mada inavyo jieleza hapo juu huku na huku vinasikika vilio vya tofauti tofauti huko nyumbani Tanzania thread zinaongezeka jf watu wanaomba ata kwa watu wasio wajua hilihali apate msaada...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bado kunahitajika utafiti wa kutosha kuhusu hili. Maeneo mengi kwa sasa hakuna uhalisia wa gharama za parking. Ukipaki hata dk unadaiwa 1500. Tujuzwe pia muunganiko huu na gari ukoje au ni mtu...
1 Reactions
1 Replies
966 Views
Leo ngoja niwamegee siri hii! Ukitaka kula nyama tamu na nzuri hakikisha unakuwa makini wakati wa kuchinja mbuzi,kondoo au ng'ombe ama mnyama yoyote! chukua chumvi ya mawe kiganja kimoja...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu nauliza hivyo Mimi "inayo endesha gari ni akili ya dereva au lessen?
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom