TTCL Internet, siamini kilichonitokea leo!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".

Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.

Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!

Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!

Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
 
Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "Whatsapp" na JF kwa mara chache na "Facebook".
Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "Whatsapp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.
Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!
Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!
Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
Hakika huko kuna wizi wa kutosha. Sehemu kubwa ya kidurushi unajiunga unatakiwa kukitumia usiku kuanzia saa 4.00 hadi saa 12.00 asubuhi. Na kama ronpbo yake tu ndio unaweza kuitumia mchana. Hivyo MB chache za kutumia mchana zikiisha wanakukatia mawasiliano. Kuwa makini kuangalia mchanganuo wa bundle yako wanapokutumia sms baada ya kujiunga. Wizi wizi wizi kila mahali, am so dissapointed na hawa wanaojiita nyumbani. Hovyo kabisa. Nimejirudia zangu kwenye mitandao mingine. Nyumbani basi tena.
 
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".

Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.

Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!

Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!

Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
Nimeachana na ttcl
Kwa tabia hizihizi
 
Mkuu pole sana embu jaribu kuhamia zantel mimi ndio nilipo wanatoa gb1 bila kikomo kwa1000tu nainjoi sana yani full kujiachia nishasahau kabisa mitandao mingine
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".

Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.

Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!

Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!

Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
 
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".

Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.

Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!

Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!

Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.

kuna factor nyingi za kumaliza MB zako kwneye simu na mostly huwa ni backgroud aplications pamoja na updates
huwa unazizima pia kuna zile auto download nazo ni shida na kama una magroup mwngi watu wanatuma video na picha nyingi na kama zote zinashuka auto basi MB haziwezi kukaa
 
Taking all that into consideration TTCL Kwa internet bado sanaa
 
Kila simu ina data Usage
kuna factor nyingi za kumaliza MB zako kwneye simu na mostly huwa ni backgroud aplications pamoja na updates
huwa unazizima pia kuna zile auto download nazo ni shida na kama una magroup mwngi watu wanatuma video na picha nyingi na kama zote zinashuka auto basi MB haziwezi kukaa
Data usage unaijua jinsi inavyotumika

ukiona mtu analalamika Ujue ana uhakika na anachosema
huo mtindo walikuwa nao zantel baada mabishano sana kwenye simu nikawatimbia ofisdini kwao na data usage hiyo wanioneneshe hizo APPS zinazorun background 1gb kwa siku ilivyoenda mana ukipiga simu ukimbilia kusema hvyo na hi

BaAda kuwashinda kwa hoja hawajakubali kama ndio zao huo uwizi eti wakadai tutarekebishaa eti hilo kosa halitajirudia wakati washaiba sana pesa zangu
Lakini tangu siku hiyo mpk sasa 1gb yangu inatumika kiuhalali kabisa
Hvyo huo mchezo kwnye vifurushi vya ofa makampuni yote ndo zao tu
Screenshot_2019-05-27-02-08-22.jpeg
 
Simu yako ulizima Background operations na automatic updates?
 
Afu mkuuu umesema 1G kwa sh3000kwa wiki.wenzio tunapata kwa buku1500 1GWiki
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".

Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.

Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!

Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!

Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
 
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".

Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.

Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!

Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!

Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.

Presha zingine ni za kujitakia tu, Yan unaenda mwenyewe dukan na kuuliza presha inauzwa sh ngapi
 
Back
Top Bottom