iphone na nyumba ya kupanga

iphone na nyumba ya kupanga

Nyumba ya 1M hiyo
IMG_20190528_135116.jpeg
 
...Mkuu, ukisema hivyo ni sawa pia na kutomuelewa mtu nwenye ka IST kake lakini anakaa nyumba ya kupanga!
Wenyewe husema ni rahisi kuwa na Kamilioni Nane kake akachukua kausafiri kake ka kumrahisishia usafiri kwenye mitikasi yake ya kutafuta hela ya kujenga, wakati hiyo milioni Nane yake akiiweka moja kwa moja kwenye ujenzi anaweza kuishia kwenye kupata kiwanja tu kwenye sehemu anayopenda kufaya makazi yake!
Unaonaje hili, mkuu?
Sijawahi kumuelewa mtu mwenye iPhone ya 1M+ anakaa nyumba ya kupanga.
 
Sijawahi kumuelewa mtu mwenye iPhone ya 1M+ anaikaa nyumba ya kupanga.
Maisha si kujenga nyumba, hiyo ni dhana mbofu mbofu ya waafrika - hapa duniani unaishi miaka isiyozidi 70 kama una bahati - sasa huo mjumbaa mkubwa unamjengea nani brasa??

Nyie ndiyo mnafanya maisha yenu yanakuwa magumu eti ooh najenga bwana oohh nanunua uwanja bwana - what???

Unakuta kijana ana ka mshahara ka 1m take home basi ni kujibana balaa, kula mama ntilie, kulala chumba cha 40k kwa mwezi - kisa anajenga....maisha haya unamjengea nani, fanya kazi tumia hela zako za mwezi maisha nayasonga - kama unachapa kazi hakuna mwajili atakufukuza na kama akikufukuza huwezi kosa kazi nyingine sababu upo sawa!!

Unakuta kijana eti anajenga nyumba kwa miaka 10+ muda wote huo anasaga lami mjini jua lake mvua yake - by the time anamaliza kujenga yupo 40+ akili hiyo?
 
Kujenga nyumba ni investment inayotumia pesa nyingi, maisha mengine hayawezi kusimama kisa kujenga nyumba. kuna watu wanamiliki hadi ndinga za 30mil. na wanaishi nyumba za kupanga, kila mtu ana mipango yake
 
Una uhakika kwamba hiyo simu amenunua, vipi kama ameazima ili aje akulingishie akikutongoza umkubali akugegede mtoa mada?
 
Nyumba ndo kila kitu, juzi nimepata M. 20 sehemu, yote nimemalizia Nyumba yangu nyingine, HP madalali washaanza kuniletea wapangaji wa Chumba efu 80 kwa mwezi, nna vyumba vitano vyote vya master full tiles,, maisha yanaenda naila kidogokidogo sent yangu,, japo nimeizika ela
 
Nyumba ndo kila kitu, juzi nimepata M. 20 sehemu, yote nimemalizia Nyumba yangu nyingine, HP madalali washaanza kuniletea wapangaji wa Chumba efu 80 kwa mwezi, nna vyumba vitano vyote vya master full tiles,, maisha yanaenda naila kidogokidogo sent yangu
Hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom