Sijui tuseme ushamba au kukosa ubunifu au ni umaskini tu.
Hawa azam tv Wana App yao, cha kushangaza siku ya mechi wanaizima baada ya mechi wanairudisha.
Sasa najiuliza Hii App wameiweka ili...
Wadau Hamjamboni.
Nimeona leo niwape ukweli bila kuwaogopa!
Najua mtauliza ushahidi!
Lakini ukweli ni kuwa ukitafuta Wahalifu wale wasiopenda kutii Sheria bila shuruti nenda Chadema.
Ukihitaji...
Wakuu kuna hili suala la hawa wanaotafsiri movie za nje kuja kwenye lugha yetu.binafsi kuna season moja ya the flash nimeitazama kuna jamaa alileta imetafsiriwa.
Sijui kiingereza lakini cha...
Leo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia...
Habari za leo..
Hivi leo serikali ya Kenya imewatimua wachina wote wasiokuwa na shughuli za kiuwekezaji, huku wakifanya kazi ambazo wazawa wanazimudu vilivyo.
Kulingana na changamoto za ukosefu...
Nimepata habari hii iliyonifanya nibaki nacheka mpaka Sasa ambapo mtoto wa Bwana Jiles Muroto RPC wa Dodoma mzee wa kipigo Cha mbwa Koko anaeitwa BENJAMINJ MUROTO mwanafunzi wa Sheria mwaka wa...
Habari zenu jf wanachama na wapenzi
MPANDO huu upo mafinga barabara ya iringa- njombe ajari za maroli eneo hilo si kitu cha ajabu mnato kushindwa kuzuia gari ni eneo hatarishi mno kwa wapitao...
Afisa michezo wa Jiji la Arusha, Benson Maneno amekanusha taarifa ambazo zinaendelea kuhusu kuwepo kwa uchaguzi wa viongozi wa chama cha Mpira wa Miguu wilaya ya Arusha.
Alisema yeye kama msajili...
Hatuachi Kujiuliza: Nani walio mnyonga Camander Aziz Juma?
Asalamu aleikum ndugu zangu wazanzibari na watanganyika wa ndani na nje ya Zanzibar na Tanganyika. Ama mimi nimefika hapa na masikitiko...
Ndo tumeishafungwa uko misri kigoli kimoja tusubili mengine yajayo. Nilitaka kufahamu maana jamii forum kuna kila aina ya watanzania kuanzia maskini kipato ch kati mpaka matajili na madoni. Kuna...
Wajumbe salama ?
Katika changamoto zilizopo kati ya TRA na wafanya biashara kwangu mm naona serikali haijaamua serious kumaliza hili tatizo, ushauri wangu ni kama ifuatavyo:
1...
dah hawajamaa ukiingia mziki wao huwa unaweza kuomba dunia ipasuke au hata ugeuke sisimizi ili upotee eneo la tukio heb tupia na wewe kisa chako/msala uliokupata ulivyoingia anga za hawa jamaa
HAPO ZAMANI
Muongo takribani mmoja na nusu uliopita hakukuwa na tukio la heri na lililoheshimika kama kuoa/kuolewa.
Nyakati hizo mke/mume aliheshimika ndani ya jamii yake.. Alihesabika kama mtu...
Tazameni hiyo screenshot vizuri ili kumtambua aliyetajwa kuwa ni tapeli na kujichomeka kwenye msafara wa gambo ni nani na alikuwa na lengo gani?. Na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa...
Habarini za asubuhi vijana wenzangu,
Kaka zangu shikamoni na Baba zangu Na Mama zangu pia.
Asubuhi ya leo nipo safarin kuelekea Sumbawanga mjini
Je kuna hotel gani nzuri hapo yenye kutoa huduma...
Dodoma.
Imeelezwa kuwa moja ya chanzo kikuu cha ajali za barabarani hususan kwa waendesha bodaboda ni makosa ya kibinadamu ikiwa ni pamoja na ulevi na uzembe ambao huchangia kwa asilimia 76%...
Jeshi la polisi Mkoani Arusha limewauwa majambazi hatari wawili katika mapambano makali ya kurushiana risasi yaliyotokea katika milima ya kijiji cha Digodigo ,Tarafa ya Sare wilayani Ngorongoro...
Ni wiki ya pili Sasa mtaani kwetu Kuna sherehe, jamaa kafunga mtaa, anatulisha na kutunywesha. Mabufee ni kuanzia asubuhi hadi usiku.
Leo niomeona kwenye gazeti, jamaa mfanya sherehe anatafutwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.