Aliyetajwa kujichomeka kwenye msafara wa Mrisho Gambo ni nani?

Nyankuru Wankuru

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
1,107
Points
2,000
Nyankuru Wankuru

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2018
1,107 2,000
Tazameni hiyo screenshot vizuri ili kumtambua aliyetajwa kuwa ni tapeli na kujichomeka kwenye msafara wa gambo ni nani na alikuwa na lengo gani?. Na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa (mrisho gambo) amechukua hatua gani mara baada ya kugundua kuwa ni tapeli.
screenshot_20190612-204927-jpeg.1125833
 
kaboli

kaboli

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2015
Messages
415
Points
500
kaboli

kaboli

JF-Expert Member
Joined May 13, 2015
415 500
Nasubiri!huenda 'comments'nyingine zitanisaidia kuelewa ulichoandika.
 
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Messages
220
Points
250
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined May 22, 2019
220 250
Ngoja na sisi uku tulifanyie kazi bdae tutatoa majibu.
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
19,280
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
19,280 2,000
Tazameni hiyo screenshot vizuri ili kumtambua aliyetajwa kuwa ni tapeli na kujichomeka kwenye msafara wa gambo ni nani na alikuwa na lengo gani?. Na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa (mrisho gambo) amechukua hatua gani mara baada ya kugundua kuwa ni tapeli.View attachment 1125833
Kama ameweza kujichomeka katikati ya wajeda basi huyo mtu ni hatari sana!
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
92,464
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
92,464 2,000
Huyu aliokotwa wapi? Kalamaganda kabugi aliokotwa jalalani.

Tazameni hiyo screenshot vizuri ili kumtambua aliyetajwa kuwa ni tapeli na kujichomeka kwenye msafara wa gambo ni nani na alikuwa na lengo gani?. Na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa (mrisho gambo) amechukua hatua gani mara baada ya kugundua kuwa ni tapeli.View attachment 1125833
 
M

massaiboi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
809
Points
1,000
M

massaiboi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
809 1,000
Jamaa namjua kitambo alikuwa anaishi jirani na home, alikuwaga fundi wa POSTA na SIMU miaka hiyo landlines zinavuma bdae akasimamishwa kazi 1990s lkn akawa bado anatapeli hela za watu mitaani akijifanya ni fundi wa POSTA na SIMU, alikuwaga kama kachanganyikiwa fulani hivi baada ya kufukuzwa kazi
 
Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
757
Points
1,000
Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
757 1,000
HUYO KWELI JEURI.... AISEE, INAWEZEKANA NA POSHO ANAACHUKUA KAMA KAWAIDA.
 
Ncherry1

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
1,761
Points
2,000
Ncherry1

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
1,761 2,000
Una waswas gan kama unajiamini uko sawa
 
Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
2,548
Points
2,000
Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
2,548 2,000
Huyu aliokotwa wapi? Kalamaganda kabugi aliokotwa jalalani.
Ila we jamaa bhana dah....

Huu sasa sio upinzani.., hii ni chuki ya wazi dhidi ya mtu binafsi.

Jaribu kuwa mtu wa hoja zenye mantiki zenye lengo la kutia hamasa na kujenga Taifa
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,332
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,332 2,000
Yani kama hujamjua Gambo atakuumiza kichwa sana! Wale jamaa wanapenda utani sana..... Hile sio kweli anamtania tu Jamaa yake! Mbona wanataniana kwenye events kubwa kubwa! Hamna kitu pale
Hakuna utani wa hivyoo
 
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
1,598
Points
2,000
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
1,598 2,000
Ngoja tusubiri muda utaongea
 
digalangosha

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
1,286
Points
2,000
digalangosha

digalangosha

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
1,286 2,000
Inamaana wakati wapo live hakujua kama ni tapeli...? Je kama ni mtu hatari si angekua kashamzulu..?

Na hapo kaenda kukagua mradi akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa lakini kuna mtu kajipenyeza na hawajamtambua kweli bongo kuna wapambe na sio wanausalama....
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
4,067
Points
2,000
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
4,067 2,000
Gambo sijui anatumia kilevi kilicho tengenezwa na malighafi gani aisee.... Jamaa kajichomeka na maaskari wapo tu hapo?
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,573
Points
2,000
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,573 2,000
Tuweke chuki dhidi ya gambo pembeni na tujadiri uyo mtu. Insweza kuwa kuna tatizo some where na linahitaji critical discussion.

Huyu mtu kajiandaa kabisa ili awe pale na kafanikisha mission yake. Na hii sio yeye tu wapo watu mjini hapa wana hii tabia. Wanapenda kupiga picha na watu wakubwa ili watumie kama fursa kutapeli watu.

Ni kama wale wa Qnet walivyotumia picha za wazir kutapeli watu.
 

Forum statistics

Threads 1,304,897
Members 501,583
Posts 31,531,073
Top