Wachagga wanaiba na kukopa ili wafanye biashara, sisi tunaiba na kukopa ili tufanye sherehe.

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,995
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,995 2,000
Ni wiki ya pili Sasa mtaani kwetu Kuna sherehe, jamaa kafunga mtaa, anatulisha na kutunywesha. Mabufee ni kuanzia asubuhi hadi usiku.
Leo niomeona kwenye gazeti, jamaa mfanya sherehe anatafutwa na Polisi kwa kumuibia mwajiri wake.
GuDume nakutafuta sana
 
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
5,121
Points
2,000
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
5,121 2,000
Maisha ni kwa ajili ya nafsi. Na kwa kuwa maisha ni mafupi kwann nijitese kwa kujinyima halafu niwekeze wajanja wanakuja kujipigia kiulainiiiii.

Marehemu Mengi si ameacha matirioni, yanamsaidia nn?

Maisha ni leo na kwa ajili ya mtafutaji tu.
 
Hashpower7113

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
1,044
Points
2,000
Hashpower7113

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
1,044 2,000
Mkuu umekurupukia kutoka chimbo la wapi leo maana siyo michapio hiyo kwenye kichwa cha habari. Au mning'inio wa chang'aa
 

Forum statistics

Threads 1,315,740
Members 505,389
Posts 31,868,940
Top