Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,353
Habari za leo..
Hivi leo serikali ya Kenya imewatimua wachina wote wasiokuwa na shughuli za kiuwekezaji, huku wakifanya kazi ambazo wazawa wanazimudu vilivyo.
Kulingana na changamoto za ukosefu wa ajira hapa nchini, ikichagizwa zaidi na wachina wengi wanaofanya biashara ya umachnga kkoo na wengine wemgi wanaofabya kazi katika makampuni ya wachina, kazi ambazo zilitakiwa kufanywa na wazawa.. Mfano madereva na wasimamizi..
Hali hii imechangia kwa kiasi kikubwa ajira nyingi kuhodhiwa na wachina hawa.. Aidha wamekuwa wakitengeneza bidhaa zisizo na kiwango na kuwauzia watz kisha faida kuipeleka kwao.. Hususani walivyo mabingwa wa kukwepa kodi hawa jamaa ni tatizo..
Ukiingia katika maduka yao risit wanazotoa huwa ni nusu tu ya kile ulicholipa..
Nachelea kujiuliza serikali yetu inasubiri nini kuwafukuza hawa watu?