Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

HFOOO

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
683
Reaction score
652
Habarini za asubuhi vijana wenzangu,

Kaka zangu shikamoni na Baba zangu Na Mama zangu pia.

Asubuhi ya leo nipo safarin kuelekea Sumbawanga mjini

Je kuna hotel gani nzuri hapo yenye kutoa huduma bora?
 
Habarini za asubuhi vijana wenzangu,kaka zangu shikamoon na Baba zangu Na Mama zangu pia,asubuhi ya leo nipo safarin kuelekea Sumbawanga mjini Je!kuna hotel gani nzuri hapo yenye kutoa huruma bora?
Unafungaje safari kuelekea sehemu bila kuwa na taarifa za kutosha za huko unakoelekea? Labda kama ni safari ya kushtukiza...
 
ukipata baa yenye mademu nifahamishe maana nitakuja huko next week
 
Habarini za asubuhi vijana wenzangu,

Kaka zangu shikamoni na Baba zangu Na Mama zangu pia.

Asubuhi ya leo nipo safarin kuelekea Sumbawanga mjini

Je kuna hotel gani nzuri hapo yenye kutoa huduma bora?
N
 
Unafungaje safari kuelekea sehemu bila kuwa na taarifa za kutosha za huko unakoelekea? Labda kama ni safari ya kushtukiza...
Kama wewe hujui ni Busara ukakaa kimya na kuwaacha wanaopafahamu wamuelekeze.

Mojawapo ya faida za mitandao ya kijamii ni kama hivyo MTU anaweza kupata taarifa za mahali Fulani kutoka kwa watu mbali mbali wanaopafahamu, bila kumlazimu yeye kufika huko.

Tupunguze ujuaji mwingi na Utoto wa kujibu jibu hovyo.
 
Back
Top Bottom