Nahitaji mtu wa kuniunganisha na Meneja wa kampuni ya Rostam Aziz

Nyete

Member
Apr 20, 2016
58
61
Wakuu,

Natumaini kuwa mu wazima wa afya,

Wakuu tafadhali naombeni msaada wenu:-

Miezi 3 iliyopita nilipeleka barua zangu za maombi ya kazi ya ulinzi pale katika kampuni ya Rostam Aziz Caspian T Ltd, lakini nikadokezwa na wale walinzi wa getini kuwa kama sina chochote kitu najisumbua bure maana kuna watu madalali pale ndani wanadalalia kazi hizo, ila nikadokezwa pia kuwa kama nikimpata mtu wa karibu na meneja mwajiri meneja anaitwa Omid akanishika mkono nitafanikiwa bure kabisa bila hata kutoa sent.

Wenzangu wenye chochote kitu tayari wamefanikiwa wapo project ya Kinyerezi, mimi sina chochote kitu sehemu peke ya kukimbilia kwa msaada ni hapa JF naombeni msaada kwa yeyote mwenye uwezo wa kuniunganisha/kunishika mkono kwa huyu meneja.

Natanguliza shukrani.
 
Wakuu Natumaini Kuwa Mu Wazima Wa Afya, Wakuu Tafadhali Naombeni Msaada Wenu:- Miezi 3 Iliyopita Nilipeleka Barua Zangu Za Maombi Ya Kazi Ya Ulinzi Pale Katika Kampuni Ya Rostam Aziz Caspian T ltd, Lakini Nikadokezwa Na Wale Walinzi Wa Getini Kuwa Kama Sina Chochote Kitu Najisumbua Bure maana kuna watu madalali pale ndani wanadalalia kazi hizo, ila nikadokezwa pia kuwa Kama Nikimpata Mtu Wa Karibu Na Meneja Mwajiri meneja Anaitwa OMID akanishika mkono Nitafanikiwa bure kabisa bila hata kutoa sent. Wenzangu wenye chochote kitu Tayari wamefanikiwa wapo project ya kinyerezi, Mimi Sina Chochote Kitu Sehemu peke Ya Kukimbilia Kwa Msaada Ni Hapa Jf Naombeni Msaada Kwa Yeyote Mwenye Uwezo Wa Kuniunganisha /kunishika Mkono Kwa Huyu Meneja,
Natanguliza Shukrani.
Kweli, ni jambo la msingi kuja JF nadhani kuna watu humu ndani wanafahamiana na huyo meneja watakusaidia.
Ila sasa kitu kingine kuusu hao madalali huoni kama ni rushwa hio na haihitajiki katika nchi yetu, hilo swala we umelichukuliaje, kwasaab hao wanaotaka rushwa ndo wanasababisha kunakua hakuna maendeleo ndani ya nchi yetu.
 
Mkuu Kweli Kabisa Rushwa Ndie Adui Yetu Wanyonge Ndio Maana Tunahangaika Hata Namna Ya Kupata Kazi Ambazo Ni Za Hadhi Yetu, Lakini Huyo Meneja Hataki Habari Ya Rushwa Anakusaidia Bure Kabisa..
 
Mkuu Kweli Kabisa Rushwa Ndie Adui Yetu Wanyonge Ndio Maana Tunahangaika Hata Namna Ya Kupata Kazi Ambazo Ni Za Hadhi Yetu, Lakini Huyo Meneja Hataki Habari Ya Rushwa Anakusaidia Bure Kabisa..
Kajibu tuhuma wanasema ww mpigaji
 
Back
Top Bottom