Blue print ina maana gani?

Blue print ina maana gani?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Kwa siku za karibuni ninaona kila kiongozi akisimama lazima atamke neno BLUE PRINT. Nawaombeni mnielemishe Blue Print ina maana gani kwa maendeleo ya Tanzania?.
 
Back
Top Bottom