Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
Habari wakuu!
Mimi kama kijana na sina kazi. nina mawazo meng ya biashara madogo na makubwa ila tatizo sina mtaji..
Kidato cha nne nilipata division 4 ya 26 hivyo sikuweza kuendelea na masomo.. Na kutokana na ugumu wa maisha, nilikaa mtaani mwaka mmoja na nusu kisha nikaenda kusomea maswala ya utalii Arusha...
Nimemamiliza nasasa nipo mtaani natafuta kazi yoyote na huku naendelea kujifunza lugha ya kifaransa[emoji846]
WAZO LENYEWE
Mimi kama muongoza watalii, nimegundua sio lazima kuongoza wazungu ili upate pesa..
Mfano.. Unaweza kupita kwenye mashule na kuhamasisha wanafunzi kutembelea vivutio vya vilivyopo Tanzania
Chukulia mfano.. Una washawishi wanafunzi wa shule ya mawenzi iliyopo wilaya ya moshi kutembelea waterfalls ya marangu.... Kila mwanafunzi unamlipisha shilingi 10000 .. ambayo ni pamoja na kiingilio... Hii ina faida kubwa sana maana wewe kazi yako ni kushawishi kila shule adi baadae inageuka inakuwa mfumo wa kila mwaka kwa kila shule na kwa kila darasa au kidato...
Kumbuka umbali wa safari ndio uta-panga na bei
Mahitaji ni gari, dereva na tour guide
Hili wazo nashindwa kulielezea kwa maandishi vizuri.. ila kama kuna mtu amenielewa anisaidie kuelewesha