george tiru
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 200
- 147
Kwa haraka haraka unaeza fikiri ni Air Turkey au Emirates, hivi hakuna watanzania wazawa wakafanya hilo tangazo basi hata mngemweka LUKAKU au Drogba!kuna tangazo lenu binti analeta kinywaji kwa abiria lakini yawezekana kweli ni Mtz wa kuandiskishwa ila limepoteza maana kwa mtu akiangalia ghafla hawezi jua km ni ATCL, fanteni vitu kwa uhalaisia wake,kwanza halina mvuto.