Tanesco Kigamboni msiwe kama wendawazimu, wiki iliyopita mmeunguza nyumba ya mtu Makondeko kwa ushenzi kama huu!

Yaani ndani ya lisaa limoja mnakata na kurudisha umeme mara kumi, mmechanganyikiwa???!! Mb*wa nyie!
Ndugu mpendwa mteja wetu

Inotokea tukio la moto sio vyena kunyoeshea mkono TANESCO moja kwa moja bila kujua nini chanzo cha tatizo la eneo husika.Tunaomba namba yako ya simu na tukio la moto lilipotokea tukupatie taarifa kamili baada ya uchunguzi.
 
Tanesco Kigamboni wanafahamu juu ya nyumba iliyoungua Kibugumo Makondeko, kawaulize nini kilitokea au uchunguzi umefika wapi? Moto ulitokea baada ya umeme kukatika na kurudi hovyo hovyo kama mnavyofanya leo, yaani leo tu hadi ninapoandika hapa umeme mmeshakata na kurudisha kama mara 20 hivi, mnacheza video gemu na switch au mnafanya nini???! This is ridiculous!!!
 
Eneo gani na namba yako ya simu
 
Eneo gani na namba yako ya simu
Nyie ni watu wapuuzi sana hata haijawahi kutokea, Najiuliza siku zote hata kama mna elimu ya kazi inayowahusu achilia mbali umuhimu wake kwa taifa mnaujua. Mtoa hoja anaonekana wazi kakerwa na utendaji wenu, nyie mnakuja na stori zenu zile zile za kizamani.... Huyo jamaa anazungumzia Kigamboni kwa jazba hajakurupuka kwa kuwa maeneo ya Chanika tangu juzi mnakata umeme kila mnapojisikia na kuwasha hapo hapo na mara ghafla mnazima, hivi mna akili kichwani au ni kamasi tupu??..... :oops::oops::oops:

Ushahidi huu hapa, Huko Chanika mmeanza kukata tangu alfajiri ya leo, mmekuja kuwasha kwenye saa tano asubuhi, saa nane mkaukata na kurudisha saa tisa .... Hakuna hata taarifa kwa nini mnafanya mchezo wa namna hii!. Acheni kufanya kazi kwa mazoea, Kazi kama hamuiwezi msingoje mpaka Rais aje awapige chini .... jiengueni tu kimya kimya ili waje watu wenye uwezo na makini, wapige kazi ili tunaotegemea umeme kuzalisha tulipe kodi!!!..... Nyie vipi???:mad::mad::mad::mad:
 
Nyie ni watu wapuuzi sana hata haijawahi kutokea, Najiuliza siku zote hata kama mna elimu ya kazi inayowahusu achilia mbali umuhimu wake kwa taifa. Mtoa hoja anaonekana wazi kakerwa na utendaji wenu, nyie mnakuja na stori zenu zile zile za kizamani.... Huyo jamaa anazungumzia Kigamboni kwa jazba hajakurupuka kwa kuwa maeneo ya Chanika tangu juzi mnakata umeme kila mnapojisikia na kuwasha hapo hapo na mara ghafla mnazima, hivi mna akili kichwani au ni kamasi tupu??..... :oops::oops::oops:

*TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA*

NAMNA YA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUPITIA SIMU NA MITANDAO YA KIJAMII ILI KURAHISISHA UFUMBUZI WA TATIZO HUSIKA.

1.ENEO HUSIKA

(Wateja wanaweza kuishi eneo moja lakini wakahudumiwa na njia (line) ya kusambaza umeme au Transfoma tofauti.)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine Wateja wa mtaa/eneo moja wanaweza kuwa na umeme na baadhi wakakosa umeme, hivyo ni rahisi kuwasiliana na Mteja husika kwa simu.)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Tupatie ufafanuzi wa jinsi ya kukufikia, ili mafundi wetu watatue hitilafu kwa haraka.)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA, UJUMBE GANI UNATOKEA MARA UWEKAPO UMEME?

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.IWAPO UNASHINDWA KUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA IPI?

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme.

TUNAENDELEA KUWAOMBA WATEJA WETU USHIRIKIANO WENU KATIKA UTOAJI TAARIFA SAHIHI ILI TUWEZE KUKUPATIA HUDUMA BORA ZAIDI.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

*TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO*

*Tovuti* www.tanesco.co.tz,

Mitandao ya kijamii

*Twitter* www.twitter.com/tanescoyetu,

*Facebook* https://www.facebook.com/tanescoyetultd.

IMETOLEWA NA:

*OFISI YA UHUSIANO*
*TANESCO MAKAO MAKUU*
 
Hii ndio sababu tunapenda kuomba taarifa kamili za mteja maana bila hivyo tutajibu bila kuwa na taarifa kamili

Tunawapenda sana
 
Nyie ni watu wapuuzi sana hata haijawahi kutokea, Najiuliza siku zote hata kama mna elimu ya kazi inayowahusu achilia mbali umuhimu wake kwa taifa. Mtoa hoja anaonekana wazi kakerwa na utendaji wenu, nyie mnakuja na stori zenu zile zile za kizamani.... Huyo jamaa anazungumzia Kigamboni kwa jazba hajakurupuka kwa kuwa maeneo ya Chanika tangu juzi mnakata umeme kila mnapojisikia na kuwasha hapo hapo na mara ghafla mnazima, hivi mna akili kichwani au ni kamasi tupu??..... :oops::oops::oops:

Ushahidi huu hapa, Huko Chanika mmeanza kukata tangu alfajiri ya leo, mmekuja kuwasha kwenye saa tano asubuhi, saa nane mkaukata na kurudisha saa tisa .... Hakuna hata taarifa kwa nini mnafanya mchezo wa namna hii!. Acheni kufanya kazi kwa mazoea, Kazi kama hamuiwezi msingoje mpaka Rais aje awapige chini .... jiengueni tu kimya kimya ili waje watu wenye uwezo na makini, wapige kazi ili tunaotegemea umeme kuzalisha tulipe kodi!!!..... Nyie vipi???:mad::mad::mad::mad:
Chanika sehemu gani mpendwa mteja wetu
 
Back
Top Bottom