Shuwasa ananunua maji kashuwasa nadhani kashuwasa ilianza pata maji ya Victoria ziwa kabla shuwasa kupata maji huwa Kuna kipnd kashuwasa wanablock maji shuwasa hawapati ya ziwa Victoria Zaid ya wao kufungulia ya mto ning'wasamahan waungwana naomba kujuzwa kitu iki kashwasa na shuwasa ni mamlaka moja yenye ofisi moja au ni ofisi mbili tofauti naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na iki
SHUWASA ni mamlaka ya maji safi na utunzaji wa mazingira kwa mkoa wa Shinyanga, ofisi zake zipo mitaa ya soko la Nguzo nane, hii mamlaka ina vyanzo viwili vya maji ambayo ni bwawa la Ning'wa na Kashwasa, makubaliano yaliyopo baina ya KASHWASA na SHUWASA ni kwamba SHUWASA achukue asilimia 80 ya maji kutoka KASHWASA (kwa malipo) halafu asilimia 20 azalishe kwenye bwawa la Ning'wa. Kwa hiyo yeye kashwasa ni mfanyabiashara anayechukua maji ziwa Victoria na kuwauzia Shuwasa na sasa hivi wanatanua kuingia Tabora na Dodoma pia, ofisi zao zipo pia Shinyanga mjini sehemu inayoitwa Bushushu. Kwa hiyo Shuwasa ni mteja wa Kashwasa ila wote ni serikali.samahan waungwana naomba kujuzwa kitu iki kashwasa na shuwasa ni mamlaka moja yenye ofisi moja au ni ofisi mbili tofauti naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na iki