Wakala wa Misitu waadhimisha wiki ya Misitu Kwa kusikiliza wananchi malalamiko yao na kutoa mafunzo mbalimbali

rose mzalendo

Member
Mar 5, 2019
71
114
Wakala wa Huduma za Misitu yaadhimisha wiki ya utumishi wa umma kwa kuwafundisha wananchi kuhusu ufugaji wa nyuki kibiashara na mafunzo mbalimbali.Pamoja na kusikiliza malalamiko yao
 
Attachments

  • MISITU FOREST.PNG
    MISITU FOREST.PNG
    13.8 KB · Views: 9
hawa watu wameamu kuzipiga kiivyo, wakiskiaga kuna maadhimimisho tena ikiwa wiki nzima kama hivi ndio wanafurahi hakuna cha mafunzo wala nini, ni mchwa tu kwenye ubora wao!😬
 
Wakala wa Huduma za Misitu yaadhimisha wiki ya utumishi wa umma kwa kuwafundisha wananchi kuhusu ufugaji wa nyuki kibiashara na mafunzo mbalimbali.Pamoja na kusikiliza malalamiko yao
Dada, siku nyingine ukileta taarifa jitahidi kuishibisha hadhira yako. Yaani sisi tusiokuwepo hapo hatujafahamu chochote unachomanisha. Bora ungeleta angalau hata baadhi ya hayo malalamiko na majibu yake ndo tungepata chochote.
 
Back
Top Bottom