Vodacom wananilaza giza

Vodacom wananilaza giza

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,724
Reaction score
3,834
Habari waungwana,

Nimenunua Umeme wa efu nane Kwa njia Ya M-pesa, baada Ya muda wakaniambia kuna tatizo LA mtandao, nikawapigia simu wanirudishie hela yangu,wakasema nisubiri nitatumiwa umeme au hela, mpaka muda huu kiza kimeingia muda wakwenda kulala umewadia, hawajatuma umeme wala pesa yangu japo ninunue kwa njia nyingine,,
.huu ni ukatili kwakweli, kahela kenyewe ndio akoako, nalala giza, lol, siturudia tena kununua Kwa njia ya Simu Umeme
 
Subiri ndani ya masaa 72 hahaha nunua mwingine tu
 
umesaha tupo futuhi land?
labda luku ya tanesco nayo imeisha.
 
Pole sana.

Habari waungwana,

Nimenunua Umeme wa efu nane Kwa njia Ya M-pesa, baada Ya muda wakaniambia kuna tatizo LA mtandao, nikawapigia simu wanirudishie hela yangu,wakasema nisubiri nitatumiwa umeme au hela, mpaka muda huu kiza kimeingia muda wakwenda kulala umewadia, hawajatuma umeme wala pesa yangu japo ninunue kwa njia nyingine,,
.huu ni ukatili kwakweli, kahela kenyewe ndio akoako, nalala giza, lol, siturudia tena kununua Kwa njia ya Simu Umeme
 
Utani tuache jamani. Vodacom ni wahuni wa karne. Nimenunua LUKU tangu saa 11 jioni mpaka saa hii wamenitumia msg kuwa ati watafanya mpango kunirejeshea hiyo elfu 10 yangu. Msaada jamani. Hii kampuni ya kizalendo imekuwa dume tena??
 
Hairudi, solution ni kutonunua kwa hiyo njia.
Nilishakutana na kesi kama hii mara mbili. Ni wizi
Ukiwapigia simu wanakurudishia na ukipiga hakuna kuongea nao kistaarabu customer care wa Voda wanafatiliwa sana na undava tu unaona umeme huo
 
Mkuu voda unaweza kununua umeme hata wa mia mbili tu
Siku nyingine jaribu kununua kwa pesa ndogo ukiona wanazingua unanunua kwa mtindo mwingine
 
Utani tuache jamani. Vodacom ni wahuni wa karne. Nimenunua LUKU tangu saa 11 jioni mpaka saa hii wamenitumia msg kuwa ati watafanya mpango kunirejeshea hiyo elfu 10 yangu. Msaada jamani. Hii kampuni ya kizalendo imekuwa dume tena??
Voda kampuni ya kizalendo?
 
Jana jioni luku ilikua inasumbua sana..hata tigo nao walikua wanarudisha pesa..nafikiri TANESCO ndo kulikua tatizo
 
Back
Top Bottom