Heko heko kivuko chazinduliwa Songea.

Heko heko kivuko chazinduliwa Songea.

Daktari wa minyoo

Senior Member
Joined
May 15, 2019
Posts
117
Reaction score
115
Habarini wanaforum wenzangu.

Hatiamae kilio cha muda mrefu cha wakazi wa kata ya Lizaboni mjini Songea kimefikia ukingoni baada ya kamati ya utekelezaji ya UVCCM mkoani Ruvuma kuzindua kivuko hicho cha kisasa kabisa ambacho kimegharimu pesa za kiTanzania 7.8 milioni.

Tumeahidi, tunatekeleza, majungu na nongwa kaeni nazo kwenu.
65057797_3081764121837985_2133995036918939648_o.jpeg
 
Back
Top Bottom