Vodacom hawataki masters kabisa.. wateua CEO wa 3 asiye na masters, degree 1 inatosha kuwa CEO Voda

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
3,653
Points
2,000

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
3,653 2,000
Habari wadau..

Jana vodacom wamemtangaza mmisri kuwa CEO wao mpya.. kwenye profile yake ni ana degree 1 tu ya business administration from university of cairo

Kabla ya mmisri.. vodacom walimteua dada wa kikenya.. na yeye hana masters ana degree 1 tu... ya chakula from university of nairobi

na kabla ya kumteua mama wa kikenya.. walikuwa na ceo mwenye asili ya india Ian Ferrao.. na yeye nae hakuwa na masters alikuwa na degree 1 tu ya finance..

hili ni funzo kwa Watanzania tunaopenda kusoma Masters kwa ajili ya kupata cheo... na hata wateuzi wa nafasi za serikali.. kuongoza kampuni kama TTCL ishindane kibiashara ,, tuache mambo ya kuteua masters na phd holders... tuachane na vyeti na theory.. wateuliwe watu wanaoweza kufanya biashara hata kama wana degree 1 tu..

Vyeti vingi ni theory tu huku biashara ni uhalisia
 
reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
4,350
Points
2,000

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
4,350 2,000
wakati nasoma nakumbuka malengo yangu ni kufikia/kupata PHD, ningeendelea na yale maŵazo na kûyafanyia kazi, naamini asaiv ningekua naongea mẃenyeẃe, maana tofaut na wengine mm kadiri nilivyokua najitahd kusoma akili nayo ikawa inajitahd kupungua, maana ilifika hatua nikawa nasoma hadithi za sungura na simba na vitoto kana kwamba ñdio naanza vidudu.
 
Eduin

Senior Member
Joined
May 15, 2014
Messages
196
Points
250

Eduin

Senior Member
Joined May 15, 2014
196 250
ebu sema vzr, huyo ceo wa voda ni tanzania au ? maana yule mmama wa kenya alikataliwa sababu ya ukenya wake iweje huyu akubaliwe kwa sababu ya ufarao wake????
 
Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Messages
504
Points
250

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2012
504 250
wakati nasoma nakumbuka malengo yangu ni kufikia/kupata PHD, ningeendelea na yale maŵazo na kûyafanyia kazi, naamini asaiv ningekua naongea mẃenyeẃe, maana tofaut na wengine mm kadiri nilivyokua najitahd kusoma akili nayo ikawa inajitahd kupungua, maana ilifika hatua nikawa nasoma hadithi za sungura na simba na vitoto kana kwamba ñdio naanza vidudu.Sent using Jamii Forums mobile app
 
dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
11,048
Points
2,000

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
11,048 2,000
... ni kweli ila hiyo degree yako GPA iwe at least 4.6 plus awards za kutosha - sijui mwanafunzi bora first year; sijui the overall best student final year; uliwahi kuwa kaka/dada mkuu primary huko; mwanafunzi bora mock F.4; point 7 F.4; mwanafunzi bora fizikia F.6 kitaifa; point 3 F.6. Sifa hizo ni zaidi ya masters ujue!
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
2,424
Points
2,000

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
2,424 2,000
Nilikwenda UD kusoma Masters. Baada ya kusumbuana na Prof kwenye Dissertation, nilimtupia likitabu huko na kuondoka zangu. Since then, its five yrs sijawahi rudi tena UDSM. Bachelor zangu mbili za undergraduate ndio zinazoniweka mjini. By the way hata kwa waajiri huwa napelekaga yale matokeo partial ya Masters nawaambia namalizia Dissertation.
 
samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
7,057
Points
2,000

samurai

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
7,057 2,000
Watu wanahitaji matokeo chanya kwenye biashara zao maana wameweka hela na hawako kwa majaribio.
Watanzania tuliowengi tumesoma lakini hatuwezi kuleta matokeo chanya zaidi ya blah blah nyiiiingi.
Makampuni sio vyama vya siasa ila wapo kibiashara, hivyo huhitaji matokeo chanya wakati woote.

Elimu yetu bado imejikita kufaurisha na kutoa A+ nyingi kuliko kuwapa watu maarifa na kuwaambia nini maana ya elimu.
TUACHE SIASA TUSONGE MBELE..
 
kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Messages
614
Points
1,000

kali linux

JF-Expert Member
Joined May 21, 2017
614 1,000
Habari wadau..

Jana vodacom wamemtangaza mmisri kuwa CEO wao mpya.. kwenye profile yake ni ana degree 1 tu ya business administration from university of cairo

Kabla ya mmisri.. vodacom walimteua dada wa kikenya.. na yeye hana masters ana degree 1 tu... ya chakula from university of nairobi

na kabla ya kumteua mama wa kikenya.. walikuwa na ceo mwenye asili ya india Ian Ferrao.. na yeye nae hakuwa na masters alikuwa na degree 1 tu ya finance..

hili ni funzo kwa Watanzania tunaopenda kusoma Masters kwa ajili ya kupata cheo... na hata wateuzi wa nafasi za serikali.. kuongoza kampuni kama TTCL ishindane kibiashara ,, tuache mambo ya kuteua masters na phd holders... tuachane na vyeti na theory.. wateuliwe watu wanaoweza kufanya biashara hata kama wana degree 1 tu..

Vyeti vingi ni theory tu huku biashara ni uhalisia
Google was once quoted saying "GPA's (even degrees) are worthless criteria for hiring." Funia imebadilika cku hz
 
MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Messages
2,405
Points
2,000

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2014
2,405 2,000
Habari wadau..

Jana vodacom wamemtangaza mmisri kuwa CEO wao mpya.. kwenye profile yake ni ana degree 1 tu ya business administration from university of cairo

Kabla ya mmisri.. vodacom walimteua dada wa kikenya.. na yeye hana masters ana degree 1 tu... ya chakula from university of nairobi

na kabla ya kumteua mama wa kikenya.. walikuwa na ceo mwenye asili ya india Ian Ferrao.. na yeye nae hakuwa na masters alikuwa na degree 1 tu ya finance..

hili ni funzo kwa Watanzania tunaopenda kusoma Masters kwa ajili ya kupata cheo... na hata wateuzi wa nafasi za serikali.. kuongoza kampuni kama TTCL ishindane kibiashara ,, tuache mambo ya kuteua masters na phd holders... tuachane na vyeti na theory.. wateuliwe watu wanaoweza kufanya biashara hata kama wana degree 1 tu..

Vyeti vingi ni theory tu huku biashara ni uhalisia
Kuna CEO wa British Petroleum (BP) alikuwa ana Bachelor ya business administration tu na alikuwa kichwa kweli kweli! Kuendelea na masters na PhD labda kama unaenda kufundisha
 
MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
15,329
Points
2,000

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
15,329 2,000
Nilikwenda UD kusoma Masters. Baada ya kusumbuana na Prof kwenye Dissertation, nilimtupia likitabu huko na kuondoka zangu. Since then, its five yrs sijawahi rudi tena UDSM. Bachelor zangu mbili za undergraduate ndio zinazoniweka mjini. By the way hata kwa waajiri huwa napelekaga yale matokeo partial ya Masters nawaambia namalizia Dissertation.
Maprof wengine too complicated aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,381,428
Members 526,090
Posts 33,799,940
Top