Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,090
Reaction score
10,773
Siku nzima ya leo naona channel hizi zimepotea na hakuna notification yoyote inaonekana.

Wenye taarifa watusaidie, au kuna settings zinahitajika kufanyika?

Kingamuzi changu ni STAR TIMES
 
Walisema watabadili symborate,frequency nk wangeweka hapa ili turekebishe
 
Baada ya kifo cha mmiliki wa wa IPP mzee Mengi leo vituo vya ITV na EATV havipo hewani, kulikoni?
 
Mbona walitangaza sana tu kuwa wamebadirisha frequency zao?
 
Kuna watu wengine kama wachawi. Sasa kufa kwa Mengi kunahusiana vipo na TV zake kutokuwa hewani.
Watu wapo wanabadirisha Transmission paramiters ww sijui unawaza nini
Mayelo
Chaneli zake bado zipo palepale hatufuati kauli zako.
 
Siku nzima ya leo naona channel hizi zimepotea na hakuna notification yoyote inaonekana.

Wenye taarifa watusaidie, au kuna settings zinahitajika kufanyika?

Kingamuzi changu ni STAR TIMES

Wamebadilisha Frequency na Symborate wamehamia Intelsat22
 
Back
Top Bottom