Mihemko ya siasa

Mihemko ya siasa

point zero

Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
32
Reaction score
34
Aaaaa hiki chama cha mapinduzi a.k.a CCM kimenichosha
kilinipa kofia na shati miaka mitatu iliyopita na kilihaidi kuleta milion 50 kwenye kijiji chetu

Na pale kijijini mi ndo nilileta ushawishi kwa wenzangu tukichague kupitia wagombea wake

Lakini mpka leo hii hakuna kilichofanyika
Nalaumiwa mimi tu kijiji kizima na hali yangu kama hivi mnavyoiona
Naomba ushauli nifanyeje?

20190512_133016.jpeg
 
Mkuu usijilaumu sana...kwani si shule ni bure au hauna watoto wa shule?

Si na umeme mmeletewa adi nyumba ya nyasi?
 
Shukuru ulipewa na tisheti umevaa si ungekuwa unatembea uchi wewe
 
Aaaaa hiki chama cha mapinduzi a.k.a ccm kimenichosha
kilinipa kofia na shati miaka mitatu iliyopita na kilihaidi kuleta milion 50 kwenye kijiji chetu
Na pale kijijini mi ndo nilileta ushawishi kwa wenzangu tukichague kupitia wagombea wake
Lakini mpka leo hii hakuna kilichofanyika
Nalaumiwa mimi tu kijiji kizima na hali yangu kama hivi mnavyoiona
Naomba ushauli nifanyeje ??

View attachment 1119127

Ndugu yangu! Badala ya kuwaza kufanya kazi ili kujikwamua, unawaza kupokea pesa kutoka Serikalini!!! Kweli? Mwaka 2019 bado wasomi wetu kama wewe mnaweza kuja na hoja kama hii? Sijui tutafika lini kama hoja kama hizi ndizo hoja mbadala!
 
Mwambie asisononeke sana...

Ataletewa tshirt na kofia mpya za kumsukuma kama mwaka hivi...


Cc: mahondaw
 
Aaaaa hiki chama cha mapinduzi a.k.a ccm kimenichosha
kilinipa kofia na shati miaka mitatu iliyopita na kilihaidi kuleta milion 50 kwenye kijiji chetu
Na pale kijijini mi ndo nilileta ushawishi kwa wenzangu tukichague kupitia wagombea wake
Lakini mpka leo hii hakuna kilichofanyika
Nalaumiwa mimi tu kijiji kizima na hali yangu kama hivi mnavyoiona
Naomba ushauli nifanyeje ??

View attachment 1119127
Nguo ikichanika ipeleke kwa Fundi au nunua uzi na sindano ushone.Maarifa hayo hayahitaji mkuu yoyote kutoka CCM.
Kuhusu milioni 50 kumbuka ahadi ile inategemea na uchumi na taratibu nyingine za Serikali.
Kama kuna kikundi mliunda kwa ajili ya maendeleo mkisubiri milioni 50 fanyeni harakati nyingine ili pindi fedha ikitoka isije kuwa fedha ya kununua mavazi na kufanya sherehe.
 
Kama
Aaaaa hiki chama cha mapinduzi a.k.a ccm kimenichosha
kilinipa kofia na shati miaka mitatu iliyopita na kilihaidi kuleta milion 50 kwenye kijiji chetu
Na pale kijijini mi ndo nilileta ushawishi kwa wenzangu tukichague kupitia wagombea wake
Lakini mpka leo hii hakuna kilichofanyika
Nalaumiwa mimi tu kijiji kizima na hali yangu kama hivi mnavyoiona
Naomba ushauli nifanyeje ??

View attachment 1119127
Kama eneo hilo ni lako anzisha shamba la mapapai,bamia,nyanya n.k japo update pa kuanzia kusubiria milioni 50 na ukumbuke lazima muunde kikundi.
 
Back
Top Bottom