Hivi kwanini wimbo wa Taifa hauna video?

Hivi kwanini wimbo wa Taifa hauna video?

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,065
Wengine wataona kuwa ni swali la kipuuzi.

Mfano, Nyimbo ya taifa ingetolewa video moja kali inayoonyesha historia na vivutio vya nchi halafu ikawekwa kwenye platform kama Youtube n.k si tungekuwa tumejitangaza sana huko...

anyways, nani anayefahamu kwanini nyimbo za taifa hazina video?
 
Unataka official video au mana mara kibao tu kuna video kama mia
 
Wimbo wa taifa haufiki ata sec 45 je utatolewaje video ya kuonyesha sehem za history
 
Kama kuna official audio kwanini Hakuna official video ?
 
1.Wakati unatungwa hakukua na video 2.Wimbo wa taifa ni wimbo maalum kwa wakati maalum ukiufanya kama bongo fleva ni kosa kubwa kisheria.
Unaimbwa mfano 1.Raisi kabla hajahutubia 2.Bendera ya taifa ikipandishwa 3.Bunge likifunguliwa 4.Michezo ya kimataifa mfano soka
 
Back
Top Bottom