Wamekufanyaje mkuu mpaka unataka ukaloge?Wakuu naiman wote mko salaama ,naomba kuelekezwa mganga mkweli ambae sio msakatonge/mpiga dili ambae anapatikana bariadi [emoji120]
yesu kristuAnaitwa Yesu Krisu
unamiaka mingapi na umeiajiri au umwajiriwa..tuanzie hapo kwanzaNauliza tu hivi kweli mganga anaweza kukutatulia matatizo yako, au anakupa ushauari tu?. Nauliza hivi kwasababu sijawahi kufika kwa mganga na sina nia ya kwenda kwa mganga.
Nangatukaa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Miaka na kuajiriwa inahusiana kivipi na hili swali??unamiaka mingapi na umeiajiri au umwajiriwa..tuanzie hapo kwanza
baasii kwakua umeshindwa kuhusianisha swali na uzi..ntapotez mda kuweka mzigo juu ya kichwa cha kukuMiaka na kuajiriwa inahusiana kivipi na hili swali??
Ndukiiiii is 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
AnhahahahahhahKaa utulie utamaliza watu kwenye ukoo bariadi ndio kwao na makafara kwa ukanda wa ziwa utajikuta úkoo mzima umebaki peke yako watu wote umemalizia Gamboshi.