Burudani ndani ya mabasi ya mikoani.

Burudani ndani ya mabasi ya mikoani.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
Hili ni janga kubwa sana.

Pamoja na kuwa na mabasi mzuri na kisasa ila upande wa burudani makampuni karibu yote yapo nyuma.

Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.

Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?

Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.

Wakati mwingine bora ulale tu.

Ni hayo kwa leo.

Unaweza ongeza na wewe.
 
Hio ya nyimbo za dini ndo huwa inanikera balaa kudadek majitu cjui hayafikiriagi hivi kweli unaweka nyimbo za dini yako tu hujiulizi kuwa kuna watu wengine pia??? Wanakaa kwenye basi huku mtu anatamani hata kushuka na hawezi kwasababu ndo ashatoa hela yake Kudadek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi unakuta sauti iko juu tena nyimbo zinajirudiaa hata mawsiliano hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Filamu za majuto zilikuwa burudani sana, tangu mwakyembe apige mkwara haziwekwi tena,
 
Hili ni janga kubwa sana.

Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.

Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?

Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.

Wakati mwingine bora ulale tu.

Ni hayo kwa leo.

Unaweza ongeza na wewe.
Tatizo muvi za kijanja zina mambo yetu yalee
 
Jaman mjaribu na bombardia sio kila siku mabasi
[emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575]
 
Hili ni janga kubwa sana.

Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.

Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?

Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.

Wakati mwingine bora ulale tu.

Ni hayo kwa leo.

Unaweza ongeza na wewe.
Hizo burudani unataka uoneshwe bure hii pirating ni mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani kuna nyimbo za dini fulani zinazofurahia maovu??
Hio ya nyimbo za dini ndo huwa inanikera balaa kudadek majitu cjui hayafikiriagi hivi kweli unaweka nyimbo za dini yako tu hujiulizi kuwa kuna watu wengine pia??? Wanakaa kwenye basi huku mtu anatamani hata kushuka na hawezi kwasababu ndo ashatoa hela yake Kudadek

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una flash yako ukiwapa hawakatai.
 
Mkuu kwani kuna nyimbo za dini fulani zinazofurahia maovu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala siyo maovu suala ni nyimbo za dini mtu huwa na utayari wa kusikiza KULINGANA na Imani yake, isipo kuwa imani yako ndg religious tolerance huwa ni ngumu sana

Wakati mwingine ni heri ukawekewa tu bongo fleva ambazo sio tied na dini yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki huo umeanzia majumbani na kwenye tV stations zetu.
 
Hili ni janga kubwa sana.

Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.

Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?

Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.

Wakati mwingine bora ulale tu.

Ni hayo kwa leo.

Unaweza ongeza na wewe.
Ukipanda superfeo ndo utaboreka zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom