Tuzungumzie elimu ya Afrika

Tuzungumzie elimu ya Afrika

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,641
Kuna wakati uwa najiuliza sana maswali haya ila uwa nakosa majibu,

Lakini ni vyema tukalijadili kwa pamoja.

*Hivi ni mara ngapi unajiuliza kuhusu kwanini wasomi wengi wa africa bado maskini?.

*Tunatumia muda mwingi,siku nyingi darasani lakini bado elimu yetu iko chini.?

*Tuna wasomi wengi na wenye elimu ya juu ila hawana maarifa ya kujiajiri.?

*wasomi wetu utegemea kuajiriwa na sio kujiajiri?

Hivi unafikiri hali hii inatoka na nini na kwanii?.

Katika mazugumzo na watu waliniju kwamba,tatzo mfumo wa elimu wa africa tunafundishwa kufafauli mitiani

Mwengine.huwa tuko wavivu kujifunza mambo mapya

Na wa mwisho,kuendelea kuwa maskini ni kwasababu tunauoga wa kujiajiri tukitegemea ajira tu,mfano daktari wa africa hawezi kukubali kujiajir kwenye mgahawa,hawezi kufanya kazi ambazo haziendani na hadhi ya elimu yake,na kati wenzetu hayo ndo maisha yao ya kila siku.

Na wewe unasemaje._
 
Ukitaka kufa masikini Africa bhas komaa sana na elimu.
Unakuta vijana wanakomaa kusoma master degree wamepauka,hata usafiri wa gari ya ist mtu hana,alafu ela ya kusomea master kakopa bank.
Huzuni sana,si bora hiyo ela angefungua biashara tu.
Wakati kina Musukuma darasa la 7 tu wana miliki biashara za mabilioni ya shilingi.
Pata elimu kiasi,ukisoma sana Tanzania utakufa masikini
 
Nafikiri....swali sahihi zaidi...ni nani alidesign huu mfumo wa elimu...wa Afrika...hasa Tanzania. Tukishamjua basi tutakuwa tumepata chanzo cha tatizo.
 
M nais tutofautishe elimu na maisha halisi(mafanikio)
Tunafkr tukisoma tumemaliza
 
Nafikiri....swali sahihi zaidi...ni nani alidesign huu mfumo wa elimu...wa Afrika...hasa Tanzania. Tukishamjua basi tutakuwa tumepata chanzo cha tatizo.
Ila bado tunayo fursa ya kubadili mfumo wetu.
 
Kuna elimu pia kuna maarifa.
Maarifa ndo humsaidia mtu kwenye maisha na siyo elimu
Unaweza ukapata elimu tena kubwa tu ila isikupe maarifa ya namna ya kupata maisha mazuri

Ngoja niishie hapa nitarudi baadae wakuu....
 
Nafikiri....swali sahihi zaidi...ni nani alidesign huu mfumo wa elimu...wa Afrika...hasa Tanzania. Tukishamjua basi tutakuwa tumepata chanzo cha tatizo.
Kuzaliwa na baba maskini sio kosa lako ila kuendelea kubaki kwenye lindi la umaskini ni tatizo lako.

Hadi karne hii kuendelea kumlaumu aliye design mfumo wetu wa elimu si sahihi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom