Hali ya wahitimu imekuwa mbayaa

Hali ya wahitimu imekuwa mbayaa

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
407
Reaction score
898
Habari wadau ,kwanza poleni na majukumu ya siku.

Kwanza kabisa kuna form inayotembea kwa wahitimu especially UDOM na vyuo vingne , hii form ni RED CROSS,
Form inajieleza kuwa kuna nafasi za kazi!! Baada ya watu kujaza , wakatumiwa email yenye form za kujaza details na lazima ukishajaza lazima utume na 15000 na umpigie HR. HALI NI MBAYA NA WAHITIMU WANAJARIBU KUTAFUTA NAMNA YA KUPATA CHOCHOTE KITU[emoji848][emoji848][emoji848]

Karibuni wakuu tuwasaidie wasio jua haya

Karibuni kwa mchangoo!!
Screenshot_20190701-173631.jpeg
Screenshot_20190701-173727.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nitakuja na Mgeni Foundation nipate pesa zenu ndogo ndogo vijana wenzangu
 
Na mlivyokariri bila ajira hakuna kuishi..endeleen kung'ang'ania mijini
tatzo unakuta mtu kapigika lakn hatak kua mpole kurud nyuma/kujishusha ajipange arud kvngne wanataka wapambane na umaskin huku wakiinjoy maisha to the maximum, mwingne vijijin kuna ma gap ila wanang'ang'ania dar
 
Naongeaga na bro angu...alipotoka Malaysia alikua anandoto za kuwa boss somwhr..hahaha..alipigika...nw akiona email ya job vacancy anasonya hyoo😂😂😂..ananiambia sisy ht nipate kazi Ikulu mm siendi ng'oo...!kuna vichanel ukikomaa unatoka mapema...
 
tatzo always inakuaga too late, kuna mwingne akiona kachelewa basi ndio anapaua hasira anatoka kwa kasi, mwingne anakata tamaa ndio anatafta njia nyepesi km
-wizi
-udalali
-utapeli
-ujambazi
-kudanga na mizinga
-kujiuza n.k n.k, ikfkia hapo mtu km huyo kumrudisha kwenye mstar ni ngumu sana.

Ukiona kijana wa leo ametoka kimaisha kwa juhud zake binafsi na kwa njia halali mpe pongezi zake, maana wazee wenyewe wanarudisha mpira kwa kipa
 
Mungu asaidie kwa hili.la ajira jaman
 
Kama hawana chanel huko bush warudi tu bush halafu
Nadhani hapo ndipo mnakokosea, jicho la kuona fursa halijalishi upo bushi au upo Dar, umesoma au hujasoma.

Kwani vijana wangapi wako bush na ni hopeless...?

Think critically..,!
 
Nimetoboa. ... lakini kunajamaa tulimaliza nao university wakazubaa wee mtaani Mara wakajitosa JKT wamerudi sasa wakovibaya mno kutwa wananitembelea kuzishangaa shelf zilivyozidiwa na mzigo. Wakiniuliza Mwl umewezaje kujenga kwa muda mfupi hivi? Nawajibu Mwl Nyerere alituachia maandiko 'Is not what u earn make u rich but what u save' Poleni saana wahitimu wenzangu mliokua mnayasoma maarifa ili kujibia mitihani
 
Nimeipenda hii
 
Hilo pato la 15000 Kwa kila kichwa ombaji halina kodi???tutamwambia mzee baba pale mbele awatazame
 
Back
Top Bottom