CEO wa Safari Com Kenya akutwa amefariki dunia

Igangilonga

Senior Member
Joined
Mar 11, 2006
Messages
131
Points
195

Igangilonga

Senior Member
Joined Mar 11, 2006
131 195
Anaitwa nani na amekutwa katika mazingira gani?
COLLYMORE WA SAFARICOM KENYA AFARIKI DUNIA (from Mwananchi Online)

Aliyekuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Safaricom nchini Kenya, Bob Collymore (61) amefariki dunia leo asubuhi, Julai Mosi, 2019.

Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Safaricom, Nicholas Nganga imesema Collymore alikuwa anasumbuliwa na saratani kwa muda mrefu.

Raia huyo wa Uingereza ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya taasisi ya saratani nchini Kenya, ameacha mke, Wambui Kamiru na watoto wanne.
 
Igangilonga

Senior Member
Joined
Mar 11, 2006
Messages
131
Points
195

Igangilonga

Senior Member
Joined Mar 11, 2006
131 195
Huyo CEO hana jina!!?

Ila hongera umekuwa wa kwanza kututaarifu!
COLLYMORE WA SAFARICOM KENYA AFARIKI DUNIA (from Mwananchi Online)

Aliyekuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Safaricom nchini Kenya, Bob Collymore (61) amefariki dunia leo asubuhi, Julai Mosi, 2019.

Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Safaricom, Nicholas Nganga imesema Collymore alikuwa anasumbuliwa na saratani kwa muda mrefu.

Raia huyo wa Uingereza ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya taasisi ya saratani nchini Kenya, ameacha mke, Wambui Kamiru na watoto wanne.
 
puttin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
220
Points
500

puttin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
220 500
Nilisoma mahali kwamba hajawahi kuwa na Mtoto wa kumzaa yaani hakuwa biological father wa hao watoto wanne Huyo mama wa kikenya ambaye alikuwa mke wake hao watoto alimkuta nao
 
Forum statistics

Threads 1,379,687
Members 525,518
Posts 33,753,341
Top