Ifahamu shule ya msingi Boma iliyopo Kiteto Manyara

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Shule ilianzishwa mwaka 2002, kwa msingi wa kupunguza mrundikano shule ya msingi Kibaya

Pamoja na mambo mengine ina wanafunzi 720, mwaka 2008 wanafunzi walihitimu ikiwa imeshika nafasi ya 3 kwa ufaulu kiwilaya

Baada ya hapo shule iliendelea kufanya vizuri ambapo mwaka 2013 ilikuwa ya kwanza kiwilaya na ya kwanza kimkoa na kitaifa ya 39

Mwaka 2014 Kiwilaya ilikuwa ya kwanza kimkoa ya kwanza na 26 Kitaifa kati ya shule 15,867

Mwaka 2015 ilikuwa ya kwanzaKiwilaya, kimkoa ya kwanza na kitaifa ilikuwa ya 45

Mwaka 2016 ilikuwa ya kwanza, kimkoa ya kwanza na ya 176 kitaifa na mwaka 2017 ilikuwa 3 Kiwilaya kimkoa 12, kitaifa ya 776 kwa sababu mbakimbali

Mwaka 2018 ilikuwa ya kwanza kiwilaya, kimkoa ya kwanza na 54 Kitaifa huku kukiwa na jitihada kupandisha kiwango cha elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana walimu, Mungu atawalipa kwa kazi nzurii ya kufundisha kwa bidii
 
Back
Top Bottom