Nahitaji kazi ya tours.

Nahitaji kazi ya tours.

africansongs

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
83
Reaction score
225
Habarini wadau.
Natumai mu wazima wa afya, nimeajiriwa kwenye kampuni moja ila sina furaha kabisa kuendelea kufanya kazi hapo.
Nimeshamaliza miaka 3 hapo ila kwasasa natamani nipate kazi nyingine especially kazi ya tours angalau niwe nabadirisha badirisha mazingira mara kwa mara.
Naongea fluently kiswahili na english.
Niko serious, kwa aliye tayari kunisaidia nitashukuru.
 
Nionganishe mimi kwenye hiyo unayotaka kuacha mkuu
 
Nenda arusha makampuni mengi wanatafuta potters wa mlimani.
 
Wewe upo kitengo gani hapo kwenye kampuni ya tours?
Ni kampuni ya wazawa au mabeberu?
 
Sijaajiriwa kwenye kampuni ya tours ila niko kwenye kampuni flani upande wa stores, kazi haina morali, ndio maana nasema kama kuna mtu anafahamiana na mwenye kampuni ya tours anionganishe, na miaka 33, na elimu ya chuo, niko dodoma. Naongea pia kiswahili na english fluently.
 
Kila la heri labda uwe mpagazi/Porter maana kazi nyingi za tours wanapeana kindugu ukizingatia wewe huna uzoefu!
 
Hongera kwa kutoridhika kirahirahisi wakati nafasi za kijiendeleza kimaisha zipo nyingi. Ushauri wangu kwako: Jitahidi kwa kadri ya uwezo wako uongeze/ ujifunze lugha nyingine.

Unless unatafuta kazi za ofisini kwenye hayo makampuni ya watalii, hizi lugha tatu chagua mona ujifunze: kifaransa, Spanish au kijerumani.

Ukijua moja ya hizo lugha, unaweza kuwa guide na ukatoboa maisha. Mshahara sio mkubwa lakini bahshishi zao sio mchezo.

Unaweza kwenda safari ya wiki moja ukirudi na laki 6. Lakini lugha lazima ipande.
Habarini wadau.
Natumai mu wazima wa afya, nimeajiriwa kwenye kampuni moja ila sina furaha kabisa kuendelea kufanya kazi hapo.
Nimeshamaliza miaka 3 hapo ila kwasasa natamani nipate kazi nyingine especially kazi ya tours angalau niwe nabadirisha badirisha mazingira mara kwa mara.
Naongea fluently kiswahili na english.
Niko serious, kwa aliye tayari kunisaidia nitashukuru.
 
Nashukuru kwa ushauri. Sasa je una mtu unaweza nionganisha naye, maana kiukweli, kazi nayofanya siifurahii kabisa
Hongera kwa kutoridhika kirahirahisi wakati nafasi za kijiendeleza kimaisha zipo nyingi. Ushauri wangu kwako: Jitahidi kwa kadri ya uwezo wako uongeze/ ujifunze lugha nyingine.

Unless unatafuta kazi za ofisini kwenye hayo makampuni ya watalii, hizi lugha tatu chagua mona ujifunze: kifaransa, Spanish au kijerumani.

Ukijua moja ya hizo lugha, unaweza kuwa guide na ukatoboa maisha. Mshahara sio mkubwa lakini bahshishi zao sio mchezo.

Unaweza kwenda safari ya wiki moja ukirudi na laki 6. Lakini lugha lazima ipande.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom