IBADA YA MAFUTA

IBADA YA MAFUTA

Duduvwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
4,697
Reaction score
4,914
Wakuu nipo katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini katika mihangaiko ya maisha sasa kuna kituo kimoja cha radio ambacho kinamilikiwa na mtumishi Dk Boaz solo nimekua nikisikia matangazo kuhusiana na ibada ya mafuta ambapo waumini watakanyaga mafuta hayo ili kujitakasa na kuondokewa na majanga mbalimbali na pia watoto watapewa pipi maalun (lollypop) zilizoombewa naomba wataalam wa hizi mambo watiririke hususan kuhusu hili swala kukanyaga mafuta ya upako,mkuu Mshana na wataalam wengine karibuni sana kwa ufafanuzi
 
Mathayo 7;21-23

21.Si kila mtu anambiaye bwana bwana atakaye ingia katika ufalume wa mbinguni;bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye Mbinguni.

22.Wengi watanambia siku ile.Bwana Bwana atukufanya unabii kwa jina lako na kwa jina lako kutoa pepo na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?.

23.Ndipo nitawambia dhahiri sikuwajua ninyi kamwe ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu.

MWENYE MACHO NA ASOME NA MWENYE MASIKIO ASIKIE UJUMBE UMEFIKA.
 
Wakuu nipo katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini katika mihangaiko ya maisha sasa kuna kituo kimoja cha radio ambacho kinamilikiwa na mtumishi Dk Boaz solo nimekua nikisikia matangazo kuhusiana na ibada ya mafuta ambapo waumini watakanyaga mafuta hayo ili kujitakasa na kuondokewa na majanga mbalimbali na pia watoto watapewa pipi maalun (lollypop) zilizoombewa naomba wataalam wa hizi mambo watiririke hususan kuhusu hili swala kukanyaga mafuta ya upako,mkuu Mshana na wataalam wengine karibuni sana kwa ufafanuzi
Mshana keshalitolea ufafanuzi.
 
Hayo si maombi...
biashara..hiyo...
Wajinga ndio waliwao!
Ana baraka gani ya kiwalisha watoto?
Kila jambo linahitaji imani tu ukiamini wewe unabaraka basi baraka zitakufuata ukiamini unamikosi basi itakuandama.
 
Back
Top Bottom