Hance Bange
Member
- May 13, 2018
- 18
- 7
Igula mambo waa!
Igula ni miongoni mwa vijiji vinavyofanya mji mdogo wa Ilembula.Igula ni kijiji ambacho mti mpogolo ambao ni mlembula (asili ya jina la Ilembula ulipo).Ni kijiji ambacho miaka kumi na kuzidi iliyopita kulikuwa na mkwamo wa maendeleo kutokana na imani za kishirikina.Ila sasa mambo si mabaya kwani:
1. Parokia kubwa ya Roman Cathoric ipo Igula.
2. Kituo cha ukisema Hans Private Education Centre ipo Igula.
3. Guest kali, K - ONE,ipo Igula.
4. Elly's English Medium primary school ipo Igula.
5. Kituo cha afya binafsi kipo Igula.
6. Ukumbi, wa Kichina, mkubwa wa sherehe na mikutano ulio jirani na barabara kuu ya Ilembula - Halali- Mbeya/Makambako.
7. Soko kubwa la mali kavu za mazao ya kilimo linatarajiwa kufunguliwa
Igula.
8. Kijiji chenye viwanja vya kutosha kwa wanaotaka kuwekeza ni Igula.
a). Kuwekeza gereji.
b). Kuwekeza uwanja wa mpira.
c). Kituo cha mafuta.
Shida za barabara, maji na umeme zinatatuliwa sasa.Kwani, miundo mbinu inasambazwa kuenea kijijini.