Kwenda Kenya kwa kutumia Temporary passport

Mullykim

Member
Sep 19, 2011
17
11
Habari, nataka kusafiri kwenda Kenya lakini Passport yangu bado sijapata, mtu yoyote anafahamu nnachotakiwa kufanya ili kupata temporary passport na pia nini natakiwa kufahamu nikiwa nasafiri na aina hiyo ya passport?
 
Nenda uhamiaji Wilayani gharama ni 30,000 Tsh. Uambatanishe affidavit ya mzazI (kuzaliwa), cheti Chako cha kuzaliwa, passport-size photo 2 na Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
 
Kadi ya manjano aka yellow fever ivi wa tz amsafiri au bila iyo kadi mpakani utaacha pesa au ukikutana na mwenye kichwa kibovu una rudi kwenu usipeleke ebora kwa watu .
 
Habari, nataka kusafiri kwenda Kenya lakini Passport yangu bado sijapata, mtu yoyote anafahamu nnachotakiwa kufanya ili kupata temporary passport na pia nini natakiwa kufahamu nikiwa nasafiri na aina hiyo ya passport?
Mimi Kenya naenda bila passport wala hizo temporary, ila ukihitaji hiyo gharama ni chini ya 200000/=
 
Wew jamaa iyo temporary ni 10000 bei halali iyo yako imetisha ata international passport aifiki huko!!!!!
 
Kadi ya manjano aka yellow fever ivi wa tz amsafiri au bila iyo kadi mpakani utaacha pesa au ukikutana na mwenye kichwa kibovu una rudi kwenu usipeleke ebora kwa watu .
Hadi hiyo pia inatakiwa?
 
Nenda Uhamiaji ofisi za wilaya Yeyote. Ukitoka nje ofisi za wilaya Tafuta stationary watakujazia fomu online fasta na kuattach document(passport size, affidavit ,barua serikali ya mtaa) .,ni sh 20,000 tu. Ukiwahi asubuhi kufika mchana umeshapata.
Ukifika border if ni namanga pale uwe na 30,000 ya yellow fever card
 
Asante sana, hilo swala la yellow fever card hata ukipitia airport ni hivyo hivyo?
 
Back
Top Bottom