Kassimu Mchuchuri
Member
- Aug 9, 2018
- 95
- 294
Kuna wale marafiki wako Real sana wanaweza kukutetea hata pale ambapo we hautokuwepo sometimes unaweza ukawa umekosea lakini watahakikisha wanalinda jina lako halafu ndo watakuja kukuchana.
Mbarikiwe sana nyie watu [emoji110][emoji110]
Mbarikiwe sana nyie watu [emoji110][emoji110]