Uwanja mpya wa ndege termina lll lininutaanza kutumika

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,117
1,424
Jamani nani mwenye kujua lini tutaanza kutumia jengo jipya la uwanja wa ndege, Terminal III.
 
Ni jengo jipya la abiria linaloitwa Termial 3 litakalofunguliwa mwezi wa nane mwaka huu. Jengo hilo liko kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere JNIA ambacho kinatumika wakati wote siyo kiwanja kipya.
 
Sikia kijana.
Uwanja mpya Terminal III utakuwa kwa ajili ya international fright, Terminal II Domestic fright na Terminal I utapangiwa matumizi mengine japo domestic fright zitaendelea kutua pale...
Nitapanga safari
 
Back
Top Bottom