Mfumo wa fine wa traffic

Mfumo wa fine wa traffic

Bizoz

Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
29
Reaction score
27
Mfumo huu ni mzuri sana kwa vile unaruhusu wamiliki kukagua na kujua kama magari yao yanadaiwa kwa makosa ya barabarani. Pamoja na uzuri wake, unaweza kuwa na shida pia. Hapa mimi nimeona shida yake moja ni pale sehemu ya kujaza nama ya leseni ya dereva ambapo mfumo unakubali tarakimu ambazo hazilingani na tarakimu za mfumo wa leseni. Mfano askari anaweza kuingiza # ya leseni "12345" na mfumo ukakubali badala tarakimu 10 (xxxxxxxxxx) za mfumo wa leseni. Hapa manake ni kwamba askari ameandikia gari kosa bila kuwa na leseni halali ya dereva. Hii inaweza sababisha sintofahamu kati ya dereva na mmiliki wa gari hasa likiwa la biashara, mfano daladala.
 
Back
Top Bottom