Kwa kifupi mm ninachojua mzee mkapa ni mnyakyusa wa mbeyaSamahani kwa nitakao wakwaza, najaribu tuu kuwaza kwa sauti.
Hivi nyumbani kwao mkapa ni wapi ? Kwao alikozaliwa na wazazi wake pia hata shule ile alisoma. Anayefahamu naomba anisaidie niielewe.
Amekua baba wa taifa? Hebu Fanya yako ya mkapa muachie annaSamahani kwa nitakao wakwaza, najaribu tuu kuwaza kwa sauti.
Hivi nyumbani kwao mkapa ni wapi ? Kwao alikozaliwa na wazazi wake pia hata shule ile alisoma. Anayefahamu naomba anisaidie niielewe.